Recent content by mtafiti muelewa

  1. mtafiti muelewa

    Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

    Naomba unijuze kama nataka kufuga nyuki wadogo (wasiodunga) nafuata hatua zipi?
  2. mtafiti muelewa

    Ukweli kuhusu kilimo cha machungwa

    Mkuu asante kwa maelezo mazuri. Lakini hujajibu maswali niliyouliza, naomba urudie kusoma nilichouliza. Asante.
  3. mtafiti muelewa

    Ukweli kuhusu kilimo cha machungwa

    Nimesoma kuna ubishani hapa juu ya mchungwa wa miaka mitatu unauwezo wa kuzaa matunda kiasi gani? Naomba kuongeza maswali hapo, je mchungwa huo mmoja kwa mwaka unazaa mara ngapi? na hizo numbers mnazotaja ni kwa mwaka mzima au kwa msimu kama unazaa zaidi ya mara moja kwa mwaka? Mimi nina...
  4. mtafiti muelewa

    Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

    Soma uzi Soma uzi wote kwa umakini uelewe, usikurupuke.
  5. mtafiti muelewa

    Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

    Rejea swali mzee, ni vigezo gani huwa vinaangaliwa vinavyopelekea serikali iprint pesa? Tunashukuru umetupa athari za kuprint pesa bila kufuata utaratibu.
  6. mtafiti muelewa

    Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

    Naamini wataalamu wauchumi watakuwa wanaweza kutuelezea vizuri na tukaelewa.
  7. mtafiti muelewa

    Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

    Habari wana jamvi? Natumai mu wazima wa afya. Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa. Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka Serikali inaprintiwa pesa? Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje...
  8. mtafiti muelewa

    Timu ilikuwa ikienda Old Trafford basi tumbo joto kwa mashabiki wa timu hiyo

    Naomba kuuliza jamani nini tatizo? Uwanja ambao ulikuwa tishio kwa timu pinzani, yaani timu ilikuwa ikienda Old Trafford basi tumbo joto kwa mashabiki wa timu hiyo, cha kushangaza leo umegeuka shamba la bibi. Mechi nne alizocheza Man U katika EPL msimu huu 2020/2021 kaambulia pointi moja...
  9. mtafiti muelewa

    Ni ipi tiba ya meno zaidi ya kung'oa?

    kuna dawa ya meno inaitwa Dr. TS Toothpaste ni nzuri sana. ijaribu utanipa matokeo. 0657317631
  10. mtafiti muelewa

    Njia za uzazi wa mpango zinamsababishia mpenzi wangu harufu mbaya ukeni

    kuna dawa inaitwa Femicare inasaidia kukinga na kutibu 1. miwasho sehemu za siri 2. fangasi sehemu za siri. 3. UTI sugu 4. kutokwa na uchafu sehemu za siri. 5. kutokwa na harufu mbaya sehemu za siri. nipigie au nitumie sms kupitia 0657317631 nikusaidie uipate.
  11. mtafiti muelewa

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    pole sana kwa tatizo hili kuna sabuni inaitwa ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP ni kiboko ya hilo tatizo na matatizo mengi ya ngozi. waweza kunitafuta kwa namba 0657317631 nikuelekeze kwa kuipata.
  12. mtafiti muelewa

    Msaada: Mama yangu ana shida ya mgongo

    pole sana mkuu. kuna products za kampuni inatwa BF SUMA ni nzuri sana kwa matatizo yote uliyoyataja hapo. UTI na MGONGO. nicheck kwa 0657 317631 nikuelekeze jinsi ya kuzipata.
  13. mtafiti muelewa

    Nasumbuliwa na tatizo la kupata kichefuchefu mara kwa mara

    nicheck kwa 0657 317631 nikupatie dawa kichefuchefu na kitakoma kabisa.
Back
Top Bottom