Recent content by Mtafiti Makini

  1. M

    50 years of independence, the biggest challenge is the production of the weird role models

    In the last 50 years of independence, the biggest challenge, is the production of the weird role models, which the youths in general, and we people in academia, are condemned to look at, admire, work with, and collaborate with. Such weird role models are decisively anti people. Such are: …...
  2. M

    Sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanganyika zimeshapita: Tumejifunza nini?

    Ndugu zangu sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika zimeshapita. Je tumetufundisha nini kwa maendeleo ya nchi yetu?je bado unakumbuka tulikotoka?jaribu pia kutafakari kesho ya Tanzania. Sijui kama taifa tumejiandaaje kukabiliana na mdololo wa uchumi na mfumuko wa bei na hatimae maisha magumu...
  3. M

    Zuberi mwombeji OCD wa Arusha anapata jeuri wapi?

    Nimekuwa nikifuatilia weledi wa OCD Mwombeji ya kuwaita wa-Tanzania wenzake kuwa ni panya nimefadhaika sana na mifumo yetu ya Ulinzi na Usalama wa raia.Kwa hicho kitendo cha kuwatukana wa-Tanzania wenzake nilidhani muda huu tunaoongea angekuwa mahabusu uchunguzi ukifanyika. Polisi ametenda kosa...
  4. M

    Matibabu India, Bomu jingine linalotegwa

    Nimekuwa nikifuatilia umuhimu wa Nchi ya India hasa kwa matibabu ya viongozi wetu wapendwa wa Tanzania. Bora hao viongozi wetu inaposhindikana kutibiwa kwenye hospital zetu hapa nchini wanapelekwa India. Kwa mfano Mh. Zitto inasemekana amekutwa na wadudu 150 wa malaria lakini Hospital ya Taifa...
  5. M

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Ndugu zangu siku zote nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa usalama wa taifa nachelea kusema imekuwa ikitumika kwa maslahi binafsi hasa kuwanufaisha watu wachache na si taifa kwa ujumla. Usalama wa taifa umekuwa ukisishwa na mambo maovu na si kulinda usalama wa taifa kwa maslahi ya watanzania...
  6. M

    Tumedhubutu hatujaweza na tunarudi nyuma

    Ndugu zangu tunapokaribia kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa taifa tunaunganishwa kwa kauli mbiu isemayo "TUMEWEZA, TUMETHUBUTU NA TUNASONGA MBELE". Lakini mimi naiona labda ingekuwa "TUMEDHUBUTU HATUJAWEZA NA TUNARUDI NYUMA" kwani kuna changamoto nyingi sana bado hatujaweza japo tumethubutu na...
  7. M

    CCM na propaganda za kisanii Igunga

    Nimekuwa nikifuatilia kampenzi za uchaguzi mdogo zinazoendelea Igunga na kugundua kwamba CCM wanatumia propaganda za kisanii ili waweze kushinda. Usanii unaotumika si kwa ajili ya manufaa ya wana wa Igunga ni kwa ajili ya vigogo wa magamba kuzidi kutanua zaidi. Inasemekana baada ya CCM kupoteza...
  8. M

    Waziri Stephen Wassira Yuko Likizo Igunga?

    Ndugu zangu wanajf nimekuwa nikifuatilia uwepo wa Waziri Stephen Wassira kule Igunga kataka kusaidia kampeni za Chama Cha Magamba yaani CCM ili kiweze kuchukua kiti kilichaoachwa na mmoja wa mapacha watatu ndani ya CCM. Taarifa nilizonazo ametumwa na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Mara na...
  9. M

    Mwandishi wa Gazeti la Majira ajiapiza ailaani CHADEMA

    Kabla mwandishi wa gazeti la majira hajailaani CDM sote wapinga Magamba Tanzania tumlaani huyu mwandishi masaburi kwani ana zero ya form four akapelekwa kusoma chuo fulani kwa ushawishi wa magamba leo analipa fadhila. Tumhurumie kesho yake itakuaje baada ya Chama cha Matanuzi aka Mwiguru na wake...
  10. M

    Mwandishi wa Gazeti la Majira ajiapiza ailaani CHADEMA

    Chama cha Magamba yaani Chukua Chako Mapema yaani Chama cha Mafisadi yaani Chama cha Mapacha watatu yaani Chama cha Maraha yaani Chama cha Matanuzi hapa Tanzania kinajulikana kama CCM hakina jipya kwa kuboresha maisha ya mtanzania ila ni kuwatumia waandishi masaburi kuandika habari ya...
  11. M

    Kinga ya Mbunge ni kwa wale wa CCM tu?

    Ndugu zangu nimkuwa nikifuatilia kwa makini hili swala zima la kukamatwa wabunge wa Upinzani ningependa kufahamu kuwa wao hawana kinga kwa mujibu wa kanuni za bunge? kinga ni kwa wale wa CCM tu? kinachonichanganya zaidi ni kwa Spika na Naibu wake kuonekana kuwa na misimamo tofauti dhidi ya kinga...
  12. M

    CCM toeni elimu kwa viwavi wenu mliowatuma hapa jamvini

    Watanzania wenzangu nawaombeni kuelewa kwamba mabadiliko kwasasa ktk siasa, uchumi na utawala HAYAKWEPEKI NA NI YA LAZIMA. Tusiendelee kukubali kudanganywa tena kwa miaka mingi ijayo huku tukiwa tumeshadanganywa miaka takribani 50 iliyopita. Tusidanganywe na majibu rahisi ya CCM kujivua gamba...
  13. M

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    Ccm wamekwisha.siku hizi wanalaumu kila kitu.wabadilishe jina kiitwe chama cha mafisadi na kulalamika tanzania
Back
Top Bottom