Zuberi mwombeji OCD wa Arusha anapata jeuri wapi?

Apr 11, 2011
14
5
Nimekuwa nikifuatilia weledi wa OCD Mwombeji ya kuwaita wa-Tanzania wenzake kuwa ni panya nimefadhaika sana na mifumo yetu ya Ulinzi na Usalama wa raia.Kwa hicho kitendo cha kuwatukana wa-Tanzania wenzake nilidhani muda huu tunaoongea angekuwa mahabusu uchunguzi ukifanyika. Polisi ametenda kosa inaundwa tena timu ya kipolisi kufanya uchunguzi kujua kama Mwombeji aliwatukana watu kuwa ni panya. Hicho kiburi na jeuri vinatoka wapi?Anapaswa kukumbuka hayo maneno yaliwahi kutolewa na Hayati/Marehemu Muammar Gadafi lakini leo yuko wapi?Mwombeji kama unataka uongozi wa kisiasa sema uvue gwanda la kipolisi. Huyu mwombeji namatangaza ni janaga la Usalama wa Raia hasa wenye mlengo na CHADEMA.Tumeshuhudia maandamano ya UVCCM na wakati wa kesi ya Ole Sendeka lakini Mwombeji hakuchukua hatua zozote. Anafikia hatua ya kumwambia Mh. Lemma kuwa kesi ya kupinga ubunge wake itamtia "neno baya..............."
 
Zombe classmate

arusha-chaos.jpg
 
Nimesahau kidogo kuuliza hakurisiti na kama alirisit ni mara nagapi
maana hapo kwenye form iv halafu form vi

Huyo ni form iv,liver hakuna cha 6!
Mfumo wa jeshi la police aliyouweka mwingereza,ni kuwa anayefikia elimu ya kidato cha 4,kwa dhumuni lakumlinda, tajiri na masikini,msomi na asiye msomi.
Ni hyo tu.
Zuberi ni mbumbu hana lolote,atafia usingizini km mbwa siku moja.
 
Back
Top Bottom