Recent content by mtabekilasekta

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hii course "Locomotive engineering in diesel electrical"

    Mwache asome hyo kozi,inatolewa chuo kimoja tu nacho ni TIRTEC MOROGORO,ni chuo kilicho chini ya TRC na akimaliza hapo ana possibility kubwa ya kuajiriwa kama Engineer wa Locomotives(vichwa vya treni)ongezeko na maboresh0 ya sekta ya reli si unaona lkn?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

    On paper ni kwle viko independent,ila kwenye uhalisia haiko hivyo,...For instance UN walikemea vikali Russia kuivamia Ukraine miaka 5 iliyopita,lakn umeshawahi kuisikia ikipinga waziwazi uvamizi wa US na washirika wake Mashariki ya kati tangu enzi za Persian Gulf,Iraq,hata sasa Iran?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

    Tunaongea in future mkuu,si ndy?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

    IMF, and the like of WB zote ziko chini ya US kiutendaji so unaposema ni taarifa za IMF bado haina uhalisia ndani yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

    Unahisi ni rahisi kwa wao kutulia wakati kuna mikono ya wakubwa nyuma ya mgogoro huo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ,mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library

    Natafuta kijana (anayejielewa),mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library,anicheki ili tufungue ofisi. Atatafuta location bora ambayo kazi itaenda,atanipa mchanganuo wa vifaa vinavyohitajika,then mi nitashghulika na gharama zote ZA AWALI.ITAKUA NI KAZI YA HESABU! Means kila siku atanipa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu nimejaribu ila naona sasa hv cloudsmediatz haifunguki,na ikifunguka inaleta mambo ya betting so naomba kama unao nitumie chief!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa Jagwa music unaitwa MWANA WA KITWANA aweke hapa wakuu,nimejaribu kutafuta audio yake kila chocho lakini nimekosa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Vp umeshapata?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi tu ya faida za kusoma vitabu

    SOME BOOKS LEAVES US FREE, SOME BOOKS MAKES US FREE
Back
Top Bottom