Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

Vijana ni shida tuu yani hawabebeki, tena hawa ambao unaona huyu mwanangu ni ndugu yangu tumetoka mbali nimnyanyue nimuwezeshe apate chochote ndo anakuumiza.
 
Habari za Majukumu wakubwa kwa wadogo. Nakuja kuomba kwa dhati kabisa kwa mtu menye Bajaji / Pikipiki na unaitaji Dreva makini, Mwerevu na muaminifu Mimi Nina sifa na vigezo, Nina uzoefu wa miaka miwili barabarani, nina Leseni ya udreva iliyo ndani ya muda.

Nafanya kazi kwa uaminifu, kujituma,weledi Muaminifu, na kikimbizana kufikia malengo kwa yeyote Mwenye Uwezo / Connection tafadhali naomba Support yako natanguliza shukrani za dhati.
Vp umeshapata?
 
Back
Top Bottom