Recent content by Mtabe

  1. M

    Msaada: Ufafanuzi juu ya Islamic Banking

    Tafauti na wanavyofanya hao wanaojiita Islami banking na machinga ni kwamba: Machinga huenda kununua bidhaa kwanza kabla ya hata kumjuwa mnunuzi wake lkn Islami banking wanasubiri mtu aje na shida zake ndio waende kununua halafu waje wamuuzie kwa gharama. Swali la msingi ni kwa nini hao...
  2. M

    Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

    So you are going to read the book not to get understanding but to reply? That is reactive behavior. Halafu kama umeisoma Quran na kisha umeamua ku i dismiss, hakika upo ktk hasara.
  3. M

    Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

    Watumwa walipelekwa arabuni kufanya kazi gani? mimi najuwa watumwa walipelekwa latin amerika kufanya kazi ktk mashamba ya wakoloni. Na utumwa ulipigwa marufuku baada ya wakoloni kuvumbua viwanda ikawa watumwa hawahitajiki tena sasa huko amerika kutokana na ukweli kwamba kazi walizo wakifanya...
  4. M

    Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

    Kwenye red; hapo ndipo nilipojuwa kwamba weye huko fair, ni mtu mwenye chuki za kidini tu na wala si mpingaji wa ukoloni. Hebu tujiulize vita ya mao mao kenya ilipiganwa dhidi ya mkoloni wa kingereza kwa malengo gani?, Rais mugabe amewanyan'ganya wazungu ardhi zimbabwe, hivi hao wazungu wa...
  5. M

    Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

    Weye kweli umeghafilika. Hata tukisema kwamba warabu wamekuja Zanzibar mwaka 1832, Sheria ya Zanzibar ambayo ilitungwa na hao unaowaita wabantu ambao ndio eti wanasemwa kuwa ndio waliopindua basi inatamka kuwa; Mtu yeyote aliekuwepo Zanzibar siku ya mapinduzi ya mwaka 1964 basi ni Raia wa...
  6. M

    Maisha ya watu wa Nigeria ni kama filamu kwangu

    Inasemekana tarehe 27/01/2001 watu waliouliwa ktk maandamano ya cuf tz walifika 100 au zaidi.
  7. M

    Nimeanini UDSM ni cha kipekee Tanzania, Hawana mgombea, Hawajaenda kumshawishi yeyote

    chukua like mkuu. mm pia ni mhitimu wa udsm mwaka 2011 lkn nakuunga mkono kw hoja yako. chuo kikuu lazima kioneshe dira ktk nchi. hata hivyo hivo vyuo vikuu vingene pia inaonekana ni posho tu ndo imewasukuma kufanya hivyo coz km kweli wana fikra wangeitisha mijadala huru ya kumpata mgombea...
  8. M

    Kwanini binadamu hawezi kuumba mtu?

    Hapana, umekosea tena sana ukisema Mungu ametuumba kwa mfano wake. ukisoma Quran surat al ikhlas, Allah anasema: Mwenyezimungu (Allah) ni mmoja tu, Hana mshirika, Hakuzaa wala hakuzaliwa na WALA HANA ALIEFANANA NAE HATA MMOJA.
  9. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Mbona pesa za serkali zinakwenda kwenye hospital za kanisa kupitia MOU wala hulalamiki? Au kodi ya waislam haina tatizo kuendesha taasisi za kanisa lkn kodi za wakristo ni tatizo kuendeshea taasisi za kiislam?
  10. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Je serkali hiyo hiyo inapotumia pesa za walipakodi wakiwemo waislam kupeleka kwenye hospitali za kanisa kupitia MOU, Je hilo mbona kwako weye sio tatizo?
  11. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Mahakama ya kadhi haiji kumlazimisha mtu ispokuwa yule alieikubali tu tokea mwanzo kwa kukubali kuoa kwa sheria za kiislam. Ili iwe mahakama ni lazima iwe na uwezo wa ku enforce law, ndio mana ni lazima itambuliwe na serkali lkn mahakama haitahukumu wakristo wacha kupotosha.
  12. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Mkuu umeandika maneno mengi na kwa mifano ingawa mifano yako mingi imejengeka kwa kutumia propaganda za media za kimagharibi kuonesha kwamba uislam ni dini ya vurugu, hata hivyo, naomba nikuulize, hivi unajuwa kwamba hadi leo zanzibar ina mahakama za kadhi? je hizo mahakama za kadhi za zanzibar...
  13. M

    Rangi nyeusi kwenye bendera ya taifa ni kiashiria kikubwa cha ubaguzi wa rangi!

    hata mm hilo jambo nililiona zamani lkn nlikuwa cjapata mda muafaka kulisemea. watu wanadhani kila muafrica lazima awe mweusi au kila mweusi ni muafrica. hawajuwi kwamba aljeria, tunisia ni weupe warabu lkn wako ktk bara la afriica. je wao si waafrica??
  14. M

    Askofu methodius kilaini unastahili kufungiwa jiwe na kutoswa baharini

    Hapana kijana usikate tamaa mda bado upo, njoo kwenye dini ya kweli na ya amani uislam, islam ni neno la kiarabu lenye maana ya amani. boko haram, na alshabab wamekosea njia kidogo lkn uislam sahihi upo pale pale, njoo usalimike tupambane kusimamisha haki.
  15. M

    Tanzania sio Burkina Faso

    .Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa...
Back
Top Bottom