Kwanini binadamu hawezi kuumba mtu?

Kwanini binadamu hawezi kuumba mtu?

Uwezekano upo..Ila wanasayansi wamewekewa limit katika tafiti zao coz nyingine zina madhara..wao wanaweza kufanya kitu wakiwa na malengo mazuri sema badae kinakuja kutumika ndivyo sivyo..mfano wanasayansi walifanya utafiti wa nuclear bombs kwa malengo mazuri..now inatumika kama silaha ya maangamizi...
 
ray lee umejibu kisayansi sana mkuu, tuachene na walokole kama wiseboy na Doyi wao wanafikiri hiki kitu kinashidikana.

ray lee umenena ukweli mtupu kwamba hiki kitu kinawezekana kwa kuunda kifaa(machine) inayofanana na mfumo wa uzazi wa mwanamke na ukarutubisha yai la kike na bengu za kiume kwenye ile mashine, na kwa kuzangatia virutubisho okesijeni, na vitu vingine unaviletea ili mashine ili kiumbe kipate umbo kamili.

hiki kitu kinawezekana sema hakina faida kwa sababu mashine ya kufanya hivyo ambayo ni mwanamke ipo.
 
Last edited by a moderator:
Miongoni mwa maswali ya kwanini ambayo yanachekesha ni kama yafuatayo:
Kwanini binadamu ana miguu miwili
Kwanini Mungu aonekani
Kwanini Binadamu wanakufa
Kwanini Mungu aliumba wanaume na wanawake
Kwanini damu ni nyekundu n.k
Jingine la kuchekesha ni hili hapa:
Kwanini binadamu hawezi kuumba mtu,
Jamvi haliishi vituko, hivi unafikiri kuna mtu atakayeweza kujibu hilo swali unaloliuliza? Kajipange bwana mdogo wa Shinyanga.

Mkuu uwezekano wa binadam kuumba mtu upo.
kwa sababu zifuatazo.
1, unatakiwa kufuta mawazo ya kwamba huwezi.

2 kusoma na kuelewa mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa uhakika.

3, kubuni kifaa kinachofanana na kufanya kazi kama mfumo wa uzazi wa mwanamke.

4, kutabua vitu na virutubisho muhimu zinawoweza kupeleka ili zile kiumbe kinachotoke kijitoe hewa zote pamoja na virutubisho.

nb. haya ni moja ya mawazo kama ukiyafanyia kazi unaweza kuwa mwanasayansi wa kwanza dunian kuumba kiumbe hai, kwa majaribio unaweza ukaanza na panya.
 
Akili ya Mungu ni kama ya binadam kwa sababu alituumba kwa mfano wake.

Hapana, umekosea tena sana ukisema Mungu ametuumba kwa mfano wake. ukisoma Quran surat al ikhlas, Allah anasema: Mwenyezimungu (Allah) ni mmoja tu, Hana mshirika, Hakuzaa wala hakuzaliwa na WALA HANA ALIEFANANA NAE HATA MMOJA.
 
Mtabe unaamini maandishi yaliyoko kwenye biblia kabla sijakupa aya.
 
Last edited by a moderator:
Hili ni wazo ambalo ukifikiri kwa hali ya kushidwa kweli utaliona huwezi na ni ngumu pia kutokea.

hakuna jambo ambalo limefanikiwa hapa duniani kwa kukosa utajiri wa kuwaza na kutafakari. lazima uwe na utajiri wakuwaza ndio upate kitu kipya

kwa nini ishidikane kutegeneza mwili wa mtu, hata ambao hauko hai??

Nasema hivyo nikiwa na mawazo chanya kabisa kwamba unaweza ukafata na kutegeneza kifaa kinacholingana na mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa lengo la kupata sehemu zuri yakupatia kiumbe.

kifaa hicho kishategenezwa tunafaata taaratibu za virutubisho vinavyotakiwa kupewa ili mashine ili itegeneza kiumbe,

kwa kuanzia unaweza ukatoa kiumbe ambacho kimekufa lakin kiwe na nyama na mifupa baadaye tutatafuta namna ya kuweka uhai.

Kwa nini tuhangaike hayo yote wakati tunaweza kufanya "the old fashion way"?
 
Kwa nini tuhangaike hayo yote wakati tunaweza kufanya "the old fashion way"?

kama ni hivyo sawa lakini uwezekano wa mtu kutegeneza kiumbe hai upo, tukabaliane kabsa KWAMBA BINADAM ANAWEZA KUFANYA HIVYO.
 
kama ni hivyo sawa lakini uwezekano wa mtu kutegeneza kiumbe hai upo, tukabaliane kabsa KWAMBA BINADAM ANAWEZA KUFANYA HIVYO.

Inawezekana ingawa itakuwa so complex na itachukua muda na resources nyingi sana.
 
Kutengeneza binaadam mbona simply,ttzo lipo kwenye kumuekea roho,tuanzie hapo.
 
Katika maswala ya uumbaji wa binadamu jinsi anavyoelezwa kwenye vitabu vya Mungu kwamba binadam aliumbwa kwa udongo hii hoja ni kweli kabisa.

Hii hoja ni sahihi kwa sababu ya kwamba mwili wa binadamu ni udongo kutokana vyakula na Oksijeni anavyotumia katika maisha yake inatokana na mimea ambayo maisha yake kwa asilimia kubwa inategemea udongo.

Kwahiyo; Ng'ombe, kuku, na wanyama wote wanaoliwa nyama zao ni udongo.

Kwa hiyo mmea umesimama kama mashine ya kuchota kile kinachofaa kwenye udongo na kukitegeneza ili kiweze kujenga na kutegeneza mwili wa binadam kwa taratibu maalum.

Wadau na Wanasayansi wa JF, Hivi ni kweli hakuna uwezekano wa kutengeneza mwili wa binadamu kwa kutumia virutubisho muhumu vinavyopatikana kwenye vyakula tunavyokula.

Mungu alituumba kwa mfano wake, why tusiweze kuuumba na sisi mwili wa binadamu?

Nawasilisha.

Hata shetani alianza huvi hivi
Soma Isaya 14;13
Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini. 14 Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.
15 Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.
 
Mkuu uwezekano wa binadam kuumba mtu upo.
kwa sababu zifuatazo.
1, unatakiwa kufuta mawazo ya kwamba huwezi.

2 kusoma na kuelewa mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa uhakika.

3, kubuni kifaa kinachofanana na kufanya kazi kama mfumo wa uzazi wa mwanamke.

4, kutabua vitu na virutubisho muhimu zinawoweza kupeleka ili zile kiumbe kinachotoke kijitoe hewa zote pamoja na virutubisho.

nb. haya ni moja ya mawazo kama ukiyafanyia kazi unaweza kuwa mwanasayansi wa kwanza dunian kuumba kiumbe hai, kwa majaribio unaweza ukaanza na panya.

Aisee wewe jamaa wewe sikuwezi. Ebu naomba nipe definition ya roho kwanza hatujaendelea na mjadala wetu.
 
Uhuru wa kufikiri huu! kama uwezekano huo ungekuwepo wazungu kwa upekupeku wao siku nyingi wangefanya na leo isingekuwa khabari. Jambo hili ukiliangalia kwa akili tuu ya kibinaadamu unaliona gumu achilia mbali kiimani .Ina maana kazi ya wanawake kuzaa mnataka kuibinafsisha?
 
Aisee wewe jamaa wewe sikuwezi. Ebu naomba nipe definition ya roho kwanza hatujaendelea na mjadala wetu.

Maana ya ROHO ni mada defu sana kiifanunua, lakin kwa ufupi roho ni uhai unamuwezesha kiumbe hai kuishi.

Nafikiri utakuwa umenielewa.
 
Uhuru wa kufikiri huu! kama uwezekano huo ungekuwepo wazungu kwa upekupeku wao siku nyingi wangefanya na leo isingekuwa khabari. Jambo hili ukiliangalia kwa akili tuu ya kibinaadamu unaliona gumu achilia mbali kiimani .Ina maana kazi ya wanawake kuzaa mnataka kuibinafsisha?

Always huwezi kuendelea au kufanikisha kitu kwa kuwaza bona fulan kashidwa, je? mimi nitaweza hayo nayaita mawazo yaliyokufa.

mkuu naomba uelewe kwamba uwezekano wa binadam kutegeneza kiumbe hai unawezakana kabisa

ukikataa nitakupa binu na mikakati.
 
Maswali ambayo yanamuhusu mungu ni

maswali yenye utata....ndio maana Kiranga kaamua kuwa

mtu huru.

Mtu akishaanza na imani zisizothibitishika hata kwa a lax margin of error kama kusema "mungu alituumba kwa mfano wake" kashashindwa kwenda kisayansi zaidi na habari zake zinakaribiana zaidi na kupiga ramli kuliko uchunguzi wa kisayansi.
 
kukataa kwamba Mtu hajauubwa na Mungu unatakiwa uje na hoja mathubuti za kuzibitisha mtu alitokanaje.? na ilikuwaje hadi akawepo katika huu ulimwengu huu.

Kututoa hoja za kuzibitika kwamba mtu alitoka wapi? basi haina haja yakuendelea kubisha na kuuliza maswali ya kwanini kwa kitu ambacho hoja yako hujaijengea misingi ya kuitetea.
 
Mtu akishaanza na imani zisizothibitishika hata kwa a lax margin of error kama kusema "mungu alituumba kwa mfano wake" kashashindwa kwenda kisayansi zaidi na habari zake zinakaribiana zaidi na kupiga ramli kuliko uchunguzi wa kisayansi.

Wewe God hater,unataka kujua kweli kama Mungu Yupo? Unaamini Sayansi Na Huamini Ktk Uwepo Wa Mungu? Sasa Fanya Hivi ili ujue uwepo wa Mungu,chukua Karatasi Nyeupe,andika Majina Yako Yote Matatu Kwa Wino Mwekundu,na Chini Yake Uandike Hivi Kwa Mfano:mimi Chaha Magaka Kiranga Nasema Wazi Kuwa Hakuna Mungu,na Kwa Kauli Yangu Kama Kweli Kuna Mungu Sitaamka Nitalala Milele,ichukue Karatasi Hiyo Kisha iweke kwenye Biblia Ktk Ukurasa Wowote Wa Kitabu Cha Mwanzo,usiku Ukiingia iweke Biblia Hiyo Ktk Mto Wa Kitanda Chako Unacholala,ukienda Kulala Hakikisha Hiyo Biblia ipo kwenye mto unaolalia,yaani chini ya mto,hakikisha unalala chali,SUBIRI MATOKEO UTAONA.
 
yaani mwanamke anafanya tendo la ndoa na mwanamume anabeba ujauzito mtoto anazaliwa nyie mnasema mmeumbwa. kweli akili zetu ni zero
 
Back
Top Bottom