Recent content by Mswatii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi gani haya?

    Kwahiyo umekutana nae kwenye Gari then unategemea yupo single au vipi,,,nawewe ulikuwa hauna MTU KBS ,,,vumilia komaa nawewe ili amuache huyo mkaguzi Mkuu Wa mahesabu jijini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Roho inauma,ushauri tafadhali

    Ukitaka tukusaidie kukupa ushaur sema kila kitu kwa usawa ,,,,,hawezi kuwa chizi akurupuke tu na kuvunja kiooo,,,,acha ubwege Wewe rudi home mapema,,,siku nyingine atakuvunja pumbu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mmeoana,mnaishi pamoja... Nasasa unahisi mapenzi yamekweisha

    Sawa Ni wazo zuri unakuja baadae kumuumba upya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi - Sheikh Ponda Issa Ponda

    uko sahihi kahtan in shaa Allah I like sheikh ponda na wapiganaji wote kama yeye takbiiir
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliokosa vyuo NACTE watakiwa kuweka machaguo mapya ya vyuo

    Lengo lako Ni nini hasa coz mada hazifanani na kinachostahili kuzungumza haaapa
  6. M

    JamiiForums Tanzania FIFA FOOTBALLER OF YEAR 2013/2014: Tatu bora hawa hapa.

    Christian Ronaldo yupo sawa sana ,, second Ribery na watatu messi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Pia binafsi kardinali sijafurahia kuwa eti wazanzibar muungano ukifa watajiunga na OIC kwanini alisemee hili kiiihivo kuna niñi ndani yake anachokitazama,,, je na Sisi waislam inaonekana hatuna haki ,, coz ni ruksa kujiunga na Vatican na kuwa na balozi wake hapa Nchini au vipi ,,, Hii Hoja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Sasa matusi au lugha za kejeli ktk mambo ya msingi sidhani km yanaleta Tija kiivo,, we inaonekana hujui chochote ,, anyway nadhani ni vema kujua kwamba kwanini watu hawataki muungano na sidhani coz kuna mambo mengi hayaendi sawai,, lkn pia kadinali anawasi wasi kuwa eti watajiunga na OIC ye...
Back
Top Bottom