Yes kuna jipu la kike liko pale Tanzania house pretoria south afrika,ni balaa ,anajiskia...kiswahil pia hakijui vizur wala jiografia ya tz...hivi vigezo vya kuwa barozi au wasaidiz wa mabaroz ni vp...nahis sio mtz yule....she z cute though....
Hongera ben,sina hakika kama ulikaa kimya ili act waendelee kukupaisha...lakin cku nyingine kanusha uvum haraka.weka jimbo wazi,mbona mm nimeweka wazi jimbo la nkasi kusin .
acheni kukatisha watu tamaa,binafs nimesafiri moja kwa moja kutoka dar mpaka harare kwa sh 120,000 na kutoka harare mpaka joberg kwa randi 300.zaid ya mara tano kwa taqwa,pia nimeunga unga dar tunduma sh 40,000 mpakan unatoa naul ya nn.tunduma na nakonde unatoa naul ipi.pia gest mpaka ten zipo...
Lowasa hata ndani ya ccm hawez toboa,achilia mbali akipambanishwa na slaa,nionavyo mimi,lawasa akigombea urais na akapambana na halima mdee bado halima atampita ,mbali sana.
Hahaaaaaa,nicheke mie,mtu akikosa cha kusema akae kimya tu.sio dhambi,yaaani mmetoka kusema chama cha kaskazini,chama cha didini/ kikristo sasa ,mnaanza kushambulia personalities za watu? Kweli safari hii mmeshikwa nyeti.
pole kwa mzee wetu,lakini kuanzia sasa ccm ndio basi.......itabaki historia....ccm planted seeds for its own destruction,watoto wetu wakakuwa wanaulizwa swali hili miaka ijayo katika civics na g.s.viva ukawa,viva mzee warioba,viva wote ,mnaoamini katika mabadiliko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.