Kesi ya askofu kakobe na TRA itakavyokuwa mahakamani.
WAKILI---- Shahidi wewe ni afisa wa TRA?
SHAHIDI ---Ndiyo.
WAKILI---Ni kitu gani kilifanya muanze kufuatilia ulipaji kodi wa askofu kakobe?
SHAHIDI---Tulianza kufuatilia ulipaji kodi wa kakobe siku ile aliposema ana pesa kuliko serikali...
Daaa hawa wana siasa wa namna hii kamwe huwezi kuwaamini, unaitia hasara serikali ya kugharamia uchaguzi mwingine kwa fedha za walipa kodi kwa kujiuzuru kwako mwenyewe binafsi hlf tena Leo hii unataka kugombea jimbo hilo hilo,ingekuwa Kenya mawakili wameshaenda kuweka pingamizi mahakamani
Lakini wakati mwingine lzm nasi wananchi tufikiri vzr mtu anaamua yy mwenyewe binafsi kujiuzuru uanachama kwenye chama chake na ubunge sio kwamba amefukuzwa na chama hlf tena mtu huyo huyo anaenda kugombea kupitia chama kingine.Huu ni ujinga uliopitiliza watunga Sera wetu walione hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.