Recent content by msugupwigite

  1. M

    JamiiForums Tanzania Noti za zamani kuendelea kutumika

    Hivi jamani ni halali kutangazwa mabadiliko ya noti bila ya kuwepo ukomo wa zile za zamani kutumika? Nakumbuka noti za 100 tulipewa ukomo lakini kipindi hiki kila aina ya noti ilimradi unayo unaweza kununulia kitu mfano kuna 2000 na 5000 za aina mbili, je hii kitu haishushi uchumi wa nchi? Maana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bilionea tajiri wa kampuni ya usafirishaji Tripple A, Hussein Jeta anataka kuniua

    Mimi nakushauri nenda CMA then kituo cha haki za binadamu pale sayansi dsm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wamekuwa wagumu kutumia tofali za Hydrafom?

    Pia naomba kuelimishwa kwani nikitumia mchanga na cement kufyatua ili mikwepe gharama ya cement ya kujengea siwezi punguza gharama?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wamekuwa wagumu kutumia tofali za Hydrafom?

    Dah kwakweli huu Uzi ni wa msingi sana kwangu maana nilimuona Jamaa anazifyatua kwake na kamashine ka mkono na Mimi nimetamani nifyatue za kujengea fance but sikuwa na uhakika wa uhimara wake kama zitakuwa sawa na zile za mashine.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaume tulio na tabia hii

    Nashukuru mleta hii mada japo sina cha kuprove ila nimeichukua na Mimi naacha kukalia wallet maana binafsi naona kuna kaukweli hapo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa mkuu wa jeshi la polisi Kenya, Watanzania tunajifunza nini?

    Watanzania na Waafrica ni wabinafsi na uongozi kwao ni sehemu ya kutajirika na tendo la kuwajibika kwa manufaa ya nchi sio sehemu yet. Hilo ndilo tujifunzalo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa mkuu wa jeshi la polisi Kenya, Watanzania tunajifunza nini?

    Watanzania na waafrica ni wabinafsi na uongozi ni sehemu ya kutajirikia na kuwajibika kwa manufaa ya nchi. Hilo ndilo tujifunzalo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu na Rais Kikwete: Wanaingiaje Skendo ya Msanii Davido?

    Tatizo la nchi yetu kwa sasa ni kila jambo kuchukuliwa juu juu na rahisi, pia mtu au watu wanavunja sheria kwa kujiamini sana. Hatuna tena misingi ya kufuata sheria kwani inachukulia kama kitabu au muongozo wa mfano tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Katika siasa hakuna Bahati mbaya kila jambo linamalengo ya kufaidisha wanasiasa na si wananchi. Hawawezi kuruhusu kitu kitakachowabana wao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Thanks mkuu maana nilikuwa nahangaika kuipata walau niipitie nione kama yale ya msingi yamezinfatiwa? Na si kubase kwa wanayosema wanasiasa tu. Tuisome ili tuamue.
Back
Top Bottom