Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Habari za leo wanajamvi,
Kuna marafiki zangu mara kadhaa wamewahi kuniambia kuwa kwa mwanaume ukikalia waleti kwenye kiti au kwenye gari kwa muda mrefu unaweza kupata matatizo ya mgongo sasa naomba kuuliza kuwa hili suala lina ukweli gani?
Na kama kuna athari kama hizi tiba yake ni ipi tofauti na kuacha kukalia waleti zetu?