Noti za zamani kuendelea kutumika

Noti za zamani kuendelea kutumika

msugupwigite

Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
10
Reaction score
3
Hivi jamani ni halali kutangazwa mabadiliko ya noti bila ya kuwepo ukomo wa zile za zamani kutumika? Nakumbuka noti za 100 tulipewa ukomo lakini kipindi hiki kila aina ya noti ilimradi unayo unaweza kununulia kitu mfano kuna 2000 na 5000 za aina mbili, je hii kitu haishushi uchumi wa nchi? Maana nimeanza kupata hofu isije kuwa kuna pesa zipo ktk mzinguko na haziifaidishi nchi ila ni za watu. Naombeni nifafanuliwe kwa anayejua zaidi
 
una hofu yenye tija kwa nchi yetu ilipofikia hilo linawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom