Recent content by Mstaarabu wa ukwee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mdada wa Kufanya kazi Barbershop - Mazingira ya kazi ni mazuri

    Wenye uzoefu wa haya mambo wanajua tunalipanaje mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Kupata hati mpya ni usumbufu na gharama kubwa kuliko kubadilisha umiliki, kwanza ukinunua chenye hati unakuwa na ujasiri umenunua sehemu sahihi, kuna watu wamenunua viwanja miaka mingi imepita ila sahiv wanafuatilia hati wanaambia wapo eneo la soko hawawezi pata hati
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mdada wa Kufanya kazi Barbershop - Mazingira ya kazi ni mazuri

    Anahitajika mdada anayejua vizuri huduma za salon, Kindly check me inbox
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, nina 5,500,000 naweza kujenga nyumba ya aina gani?

    2 years kumbuka ni 12M😅
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu binti?

    Wa kumtafuna??🤣
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu binti?

    Tulifahamiana kimasihala tu kwa lengo la kumsaidia kupata kazi sasa sijakamilisha mchakato wa kazi ila anajiletaa, Nikila mzigo na kazi asipate silawama hizi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Female Masseuse - Upcountry Barbershop(Mdada wa Massage)

    .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa benki zitanue 'ukomo' wa kutoa pesa kwenye ATMs, milioni moja haitoshi

    NBC BANK unaotoa mpaka 1.5M na kuna baadhi ya akaunti unatoa hadi 3M
  9. M

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

    We lazima ni mdada maana unanyumbua sana vitu 😂😂
  10. M

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

    Kama unaiona mbaya uliingia kufanya nini ulipoona inapangishwa laki mbili au ulitaka nyumba ya laki mbili iwaje tofauti na hiyo?....ngoja nikuache boss usije sema dharau tena!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

    Ww ndio umeleta dharau kwenye nyumba ya mwenzako hata kama ni tajiri kauli ulizotumia SI SAWA
  12. M

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

    Utakuta unaongea hiv bado unakaa kwa dada yako afu unalopoka tu...nyambafuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu waliopata daraja la 3 na 4 sekondari wana mafanikio katika maisha kuliko wale wenye 1 na 2

    "To fail in class is not fail in life" "To fail in class is not to fail in life" Adolf Hilter
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Biashara ya duka la rejareja msaada ushauri

    Hbr ndugu. Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo. Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo? Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo. NB Naomba ushauri pia juu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

    Umesoma wapi jinsi mpk unasema bidada!!?
Back
Top Bottom