Recent content by mstaafrika

  1. M

    Dr. Kigwangalla: Watu wetu wakivuka kwenda kuvua samaki wanauawa, Sasa wakao Wakivuka tutajua cha kufanya

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] Cwez kuhangaika na mawazo yako , kwanza ushaingiza siasa kwnye jambo la msingi . Kama unaona heshima inatafutwa kwa hayo yaliyosemwa na mh. Waziri basi sawa , siwezi kukulazimisha uache kula unga wa ndeleee toka kwa mflme Juha[emoji120]
  2. M

    Dr. Kigwangalla: Watu wetu wakivuka kwenda kuvua samaki wanauawa, Sasa wakao Wakivuka tutajua cha kufanya

    Diplomacy imeshindikana ? Mbona kama waziri kaongea kwa kukurupuka bila hata kujaribu kufikiria kauli zake zinaweza declare war , kwani hamna nchi wala serikali inaweza acha wananchi wake wafanyiwe vitendo vya kinyamaa namna ambavyo mh. Waziri amaesema .... HATUWEZI KUPINGA MAUAJI KWA KUFANYA...
  3. M

    Carol Ndosi: Barua kwa Rais wangu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Truth Gives Power ... This is too deep sister Caroo . Not only that , but also hao wanaojikuta wana nguvu ya kuonea wanyonge ni watu ambao tunaishi nao , kwa kutuzidishia chuki dhidi yao kwa maelezo kutoka kwa wakubwa , it will cst them piaa , we are all human being , inachosha na tumechoka...
  4. M

    Another BossLady in the House, Hodiii

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  5. M

    Anayasema haya Comrade VITALIAEMBE

    Kutoka kwa Nguli wa sanaa Tanzania; Mswahili VITALI MAEMBE. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe Unazidi kunitia Aibu! Mtu Mzima: Guitar Man! Vitali Maembe: Hi! (Eti namimi nikajikuta nimeitikia tu kama Mzungu) Nilivyoongea tu akagundua sio wa kwao...
  6. M

    Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

    Yani msiba wa kitaifa kama huu , mnaacha kuonyesha mnakalia kutoonyesha bunge ambalo mnauwezo wa kurekodi kama mnavyosemaga . Shame on you TBC . Na hata bunge hilo kuahirisha kikao cha siku moja mmeona kazi sanaa kazi kusutanaa. Mna mioyo ya namna gani ninyi ..
  7. M

    BARIADI: Wanafunzi wagoma kushinikiza Mkuu wa shule kutohamishwa

    Kila nikijaribu kufikiria , kuwa askari wa Tz ni wa kupiga tu ,Napata shida kuamin kama mdogo wetu huyu kwenye picha hii ameweza kuamka leo na kwenda shule . Kwanza yeye pekee yake lkn angalia walivyomzingira □□□ . Unadhani kwa kipigo atachopata ataweza kuamka salama kweli ? Au anaweza hata...
  8. M

    Mapinduzi daima! Bado tunahitaji mapinduzi

    * Sisi kama wa Tanzania, tumejikwaa kiakili na kimtazamo pale tulipodhani Mapinduzi pekee na ya mwisho ni yale yaliyofanyika Zanzibar miaka kadhaa iliyopita.* *Mtizamo huu kwa kiasi kikubwa umetuathiri sana, umeweka ukomo wa kufikiri, tumesahau Kuwa Mapinduzi ni lazima yaendelee, tumebaki...
  9. M

    Mbegu zangu nilizopanda DECI mpaka leo hazijatoa matunda !

    Hahaaa , jaribu kufikiri kwanza then upambanue mambo
  10. M

    Mbegu zangu nilizopanda DECI mpaka leo hazijatoa matunda !

    Hali imekuwa ngumu sana jaman , mpaka wengine tunakumbuka mbegu zetu za kipindi kile . Basi msikope, simlichukua za kwetu mkasema mtazipandaa , au siyo nyie mlitunyang'anya zetu jamani , mpaka leo hazijazaa tu ? Haya bhana kila la kheri [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Back
Top Bottom