Mbegu zangu nilizopanda DECI mpaka leo hazijatoa matunda !

mstaafrika

Member
Jan 3, 2017
10
2
Hali imekuwa ngumu sana jaman , mpaka wengine tunakumbuka mbegu zetu za kipindi kile . Basi msikope, simlichukua za kwetu mkasema mtazipandaa , au siyo nyie mlitunyang'anya zetu jamani , mpaka leo hazijazaa tu ?
Haya bhana kila la kheri
 
Zimetetemeshwa juu kwa juu.
 
Hali imekuwa ngumu sana jaman , mpaka wengine tunakumbuka mbegu zetu za kipindi kile . Basi msikope, simlichukua za kwetu mkasema mtazipandaa , au siyo nyie mlitunyang'anya zetu jamani , mpaka leo hazijazaa tu ?
Haya bhana kila la kheri
Mwaka ule jua liliwaka sana hata mbegu hazikuota!
 
duuu asee nkiskiaga DECI nawakumbuka wakwe zangu walivyokua poteza mamilioni yao ya pesa ..... ila Mungu ndio muweza wa yote
 
Hali imekuwa ngumu sana jaman , mpaka wengine tunakumbuka mbegu zetu za kipindi kile . Basi msikope, simlichukua za kwetu mkasema mtazipandaa , au siyo nyie mlitunyang'anya zetu jamani , mpaka leo hazijazaa tu ?
Haya bhana kila la kheri
Kupeleka Deci ulikuwa ni ujinga wako tu,usitafute wa kumbebesha lawama
 
Hali imekuwa ngumu sana jaman , mpaka wengine tunakumbuka mbegu zetu za kipindi kile . Basi msikope, simlichukua za kwetu mkasema mtazipandaa , au siyo nyie mlitunyang'anya zetu jamani , mpaka leo hazijazaa tu ?
Haya bhana kila la kheri

DECI ilikuwa Fundisho ama program ya uongo iliyohusishwa na Kanisa ama neno la Mungu toka Biblia. Hata anayepanda mbegu za kilimo ana kazi kubwa anayoifanya Kabla na baada ya kupanda hadi mavuno. Kazi ipo hata baada ya mavuno. DECI Iliaminisha watu walete pesa na kisha wakae wakisubiri wakavune. Ilikufa kwa sababu haikuwa ya haki bali Ilijaa ulaghai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom