Recent content by Mss

  1. Mss

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Nadhan kuna minimum distance ambayo anatakiwa kukaa. Usimruhusu aisogelee tv. Mruhusu akae atleast 3m kutoka kwenye tv.
  2. Mss

    Kumekucha, kwa taabu sana hatimaye nimeacha punyeto

    Utaanzaje kuacha puli asee. Mm nimeoa na puli huwa nagonga tu na wife namgonga fresh tu mpaka anaomba po.... Mnaojitangaza mmeacha puli wekeni akiba ya maneno siku mkirudia mtujulishe pia..
  3. Mss

    Forest Regulations of 2004

    Wadau habarini za leo. Natumai mko salama na mnaendelela vema na majukumu yenu. Nia yangu ya kuanzisha uzi huu ni kuomba msaada wa kupatiwa Forest Regulations ya 2004 (principle regulations) maana nimeisaka kwenye mtandao na kwenye tovuti ya wizara husika sijafanikiwa kuipata. Tafadhari mwenye...
  4. Mss

    Live Kutoka Leaders Club: Maandalizi ya Maandamano ya vijana watafuta Ajira 13.09.2016

    Kilimo nacho shida tu angalia wakulima wa nyanya wa dumila kilichowapata...
  5. Mss

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Maji haituamishi @ Malambi Raphael.
  6. Mss

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mm nalima mwanza eka moja ardhi yake ni kama mbuga hv nishaurin ardhi hii inafaa kwa vitunguu? Mm ni mara ya kwanza kujiingiza katika kilimo
  7. Mss

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Ukipata jibu pia unitag mm pia nimelima kama eka 2 za hii kitu na ndo mara yangu ya kwanza kujiingiza kwenye kilimo
  8. Mss

    Dr. Mwaka na viagra yaliyomo yamo

    Hawa waganga wa tiba asilia wengi ni matapeli. Kuna kipindi niliugua nikaenda kwa Lupimo sanitariam clinic iko dodoma area C. wakanipa kushika kidude flani hv amaizing yaan... halafu computer ikaanza kuscan, kipimo tu nikaliwa 25,000 nilitajiwa magonjwa kibao yan et UTI, presure, ki-shuga na...
  9. Mss

    Je, na mimi ni jipu??

    Urudishe na hiyo mishahara uliyokwisha chukua maana siyo haki yako...
  10. Mss

    Wanajamvi wenye vyeti feki muichukue kama ilivyo japo inauma

    Sio rahisi kugundulika... Piga kazi usiogope
  11. Mss

    RPC Dodoma: Viongozi wa BAVICHA kufikishwa Mahakamani Jumatatu kwa kumkashifu Rais

    Kamanda gani hata mgambo hawajapita..
  12. Mss

    VODACOM NIONEENI HURUMA

    Pole mkuu
Back
Top Bottom