Kwa kuwa fikra na mafundisho yake bado yanaishi hadi sasa na hapo miaka ya baadaye, ni sahihi kusema anafikisha miaka 100 kwa sababu sehemu yake bado inaishi.
Hiyo sheria ya kuiunda hiyo Tume huru itatungwa na Bunge gani kama sio hili hili. Kama mnaliamini kwa sheria iwe hivyo kwa katiba Mpya.
Nifikiliavyo mimi katiba ikimuondolea Rais hayo manguvu na kuhakikisha check and balance ya uhakika automatic Tume huru itakuwa imejitengeneza.
Zito, Kafulila na Hamad Rashid walilindwa na Mahakama si spika.
Mahakama za Tanzania wakati huo zilijimaliza wenyewe ndio maana kwa mara ya kwanza hakuna kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na chadema. Aibu kwa Mahakama zetu.
Pia mama kapuuza kuwapa viwanja wachezaji wa kiume kwa kufunga goli Musi fainali na si kuchukuwa kombe. Wanawake wamechukuwa makombe matatu hata kutajwa tu hawakutajwa.
Nchi haiendeshwi kwa taratibu za kimila. TLS wao wamehadharisha tu muwe makini msikurupuke.
Si mara moja uongozi uliopita umekuwa ukikiuka katiba au anataka iwe mazoea? Mliwahi kuteuwa wabunge wa kiume wengi zaidi ya wanawake. Wanaharakati na wapinzani waliwashitukia na kuteka katiba ifuatwe...
Bandiko lako lanikumbusha kisa kimoja nilisimuliwa nikiwa mdogo. Mandhari ya kisa hicho ni usukumani huko.
Katika kijiji au Mjibu mmoja lilitokea zimwi lililoitwa Shing'weng'we zimwi hilo lilikula watu wote na kumbakiza mama mmoja tu mjamzito aliyefanikiwa kujificha kwa Kudra ya Mungu.
Mama...
Bora wewe umejitokeza kusema kuwa Jiwe lililorushwa gizani limefanya maangamizi. Dada huyu ni shujaa hasa. Katumia taaluma yake kupambana na uovu kwa kuuangaza na kujuza umma Kipindi hiki cha kuficha habari na kujipendekezaa.
Kwa kweli taarifa zake hunifanya niupe kazi ubongo wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.