Recent content by msonobari msitu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuwa the "GREAT THINKER". Nifanye nini?

    anza na vitabu vifuatavyo 7 habits of highly effective people by stephen covey the world is flat by friedman art of war by sun Tzu learning how to learn by Dr barbara oakley vilibadilisha fikra zangu sana na kunifanya nibadilike
  2. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    shukurani sana kaka kwa elimu hii pana umenifungua
  3. M

    JamiiForums Tanzania E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Hujielewi aisee unalinganisha vitu viwili visivyoshabihiana
  4. M

    JamiiForums Tanzania E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Baba kamtuma naye atishie kama makinikia
  5. M

    JamiiForums Tanzania E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Tungeuza hadi tausi na tungefungua hotel ikulu
  6. M

    JamiiForums Tanzania E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Katumwa kutishia nyau kama ya makinikia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wadanganyika hii ndio Kigamboni ya wajapan.....

    Ventilation tower yake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wadanganyika hii ndio Kigamboni ya wajapan.....

    Hiyo sehemu ni nzuri sana niliwahi kufika eneo hilo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siku 100 Za Rais Magufuli Zinavyojadiliwa na Wadau

    Kama umekaa tu huwezi ona kinachobadilika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Niagize gari Japan au ninunue used hapa hapa Tanzania!?

    Kama upo seriously nitakuunganisha na mtanzania anayefanya kazi ya kununua moja kwa moja kutoka mnadani na mimi binafsi nilinunua toka mnadani na nilipata fursa ya kutembelea minada ya kobe nagoya nikiwa japan mwaka jana inbox namba yako tutaongea
  11. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Kampuni yenye ucjali brella ni moja tu ndio maana wanahisa lazima uwe mkwe peke yake ndio aliyena haki ya kuwa mwenyekiti wa share holders
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    Hata mbuyu ulianza kama uyoga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    Kilichomwondoa kaburu ni Chaga Development Movements Association so kaburu ni mchaga?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    CHADEMA= Chaga Development Movements Association
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    Tunaamini mabadiliko ya kweli yataletwa na upinzani lakin nakuwa na mashaka sana na siasa za upinzani sababu zimejaa kufukuzana kuvuana nguo na kusujudiana bila kusahau kukomoana hayo yana nivunja moyo na kuona mwarobaini wa ccm haupo hadi sasa watanzania wanakuwa na matumain lakini ikifika...
Back
Top Bottom