Futa kauli,kupangiwa dsm hakumaanishi kuwa mtu fulani anaakili sana.chukulia aliyemaliza form four mwenye division III-25 Then form six akapata I-7 au form 4 kapiga freshe afu form 6 kashuka.
Kuanzia uongozi wa juu wa chuo kuja chini wamejaa wahaya tuu.jambo linawatesa wanachuo kwa kutopata mahitaji yao kwa wakati mwafaka,kwani wanafanya mambo bila kujali wakijua kuwa hakuna atakaye wachukulia hatua yoyote.kisa ni undugu na ukabila[tuseme wanalindana]
Tangu ufanyike uchaguzi mkuu 2010 diwani huyu aitwaye Mwl Juma,amekuwa akipiga propaganda kwa kuwahadaa vijaa na kukaa nao vijiweni.Kimsingi alitakiwa ahamasishe vijana kufanya kazi.Pia katika kata hiyo ya MAGARA kumekuwa na wimbi la majambazi tatizo linalofanya watu waishi bila amani.
huko Udsm tatizo mmedekezwa.ili mtu afanye UE sharti afikishe 16 ktk course work, UE 40 na hiyo ipo tofauti na vyuo vingine kama SAUT,MWENGE na MAKUMIRA ambapo huingia UE wakiwa na course work ya alama 20 afu UE alama 50. Nashangaa kusikia kuwa Udsm suplementary ni nyingi wakati vyuo vingine ni...
pesa zimeliwa na ukawa ambalo halikuwahi kupangiwa hata bajeti,tatizo la watanzania ni wakurukaji wa kuanzisha mambo mfano bunge la katiba kitu ambacho kinawasababishia wengine majanga.Mungu wabariki wanavyuo na tz
Inakuwaje TCU iwanawapa uhuru vyuo vikuu hapa nchini kujipangia kuwa PASS ianze na kuendelea? Mfano mahususi ni vyuo vya watu binafsi kama SAUTI,JOSIAH KIBIRA NA MAKUMIRA ambapo 'C' HUANZA NA 50 angali wakijua kuwa hawana resourse za kutosha kuhakikisha kuwa wanafunzi wanafikia alama hizo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.