Diwani kata ya MAGARA iliyoko wilaya ya BABATI ashindwa kuleta maendeleo

msomaji J

Member
May 10, 2014
15
0
Tangu ufanyike uchaguzi mkuu 2010 diwani huyu aitwaye Mwl Juma,amekuwa akipiga propaganda kwa kuwahadaa vijaa na kukaa nao vijiweni.Kimsingi alitakiwa ahamasishe vijana kufanya kazi.Pia katika kata hiyo ya MAGARA kumekuwa na wimbi la majambazi tatizo linalofanya watu waishi bila amani.
 
Back
Top Bottom