Recent content by Msoma ramani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Haya ya Mwakyembe, itakuwaje Kikwete naye akianza Kufukuza MAWAZIRI mbele ya Media?

    "la Mwakyembe kama ambavyo alifanya kwenye Richmond jambo ambalo limemfanya adharaulike mbele ya uma wa Watanzania ndilo analolufanya tena katika Wizara hii "unafiki" akitaka kuonekana analipigania Taifa kumbe ana lake binafsi ambalo naona nalo kuwa ni janga na hili ni kukuza jina la "Harrison...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

    KAKA USITAFUTE LAANA..YUPO MUNGU.Nakushauri badilisheni lishe wewe na mkeo kula vyakula vya kuzalisha mbegu zako zaidi na epuka pombe kali na sigara,fanya mazoezi yote haya yan a apply kwako na kwa mam avile vile mkeo abadilishe vyakula anatakiwa ale vyakula vyenye acid ili kuongeza vichocheo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania FBI waondoka Zanzibar bila polisi kujua

    Mungu ibariki Tanzania Dumisha Umoja na Amani wake kwa waume na watoto, Mungu ibariki Tanzania na watu wake Ibariki Tanzaniax2 Tubariki watoto wa Tanzania.. Amen
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwa kuweka CCTV kwenye traffic light

    Wadau wa jamvini naomba kuwasilisha hoja yangu ambayo nadhani kwa namna moja ama nyingine wengi wetu inawagusa, haya matukio ya ujambazi,kutupiana risasi na hata kugongwa watu na wahusika kukimbia laiti kama kungekuwapo na cctv kwenye taa za barabarani nadhani ingesaidia kurahisisha zoezi la...
Back
Top Bottom