Ulinzi kwa kuweka CCTV kwenye traffic light

Msoma ramani

New Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Wadau wa jamvini naomba kuwasilisha hoja yangu ambayo nadhani kwa namna moja ama nyingine wengi wetu inawagusa, haya matukio ya ujambazi,kutupiana risasi na hata kugongwa watu na wahusika kukimbia laiti kama kungekuwapo na cctv kwenye taa za barabarani nadhani ingesaidia kurahisisha zoezi la kuwakamata wahusika, ni majuzi tumesikia dereva wa dala dala sinza amepigwa risasi sinza,trafik bamaga kagongwa..afadhali mhusika alikamatwa halafu mwingine kapigwa risasi bonde la mkwajuni ..hivi kweli kama tungekuwa na cctv hawa wahusika wangekuwa na nguvu ya kuyatenda haya, mimi naliomba jeshi la ulinzi lifikirie hili suala kwasababu linaifanya bongo kuonekana si mahali salama.kama ni gharama waombwe wadau wa mashirika ya simu watoe hata udhamini basi hii hali ikiendelea itakuwa sugu mwishoe sugu ata totoa mtoto, haba na haba hujenga kibanda.....na sio kibaba.
Nawasilisha
 
Watu hatuna maji, umeme, vifaa vya hospital wewe unakuja na cctv kwenye traffic lights? Come on man,
 
Back
Top Bottom