Itakuwa umbo lako ni dogo sana,watu wenye maumbo madogo yaani wembamba na wafupi siku zote wanaoneka bado,mimi kuna mdogo wangu umbile lake kubwa anapewa shikamoo mi nanyimwa na kiukweli watu wenye maumbo madogo uwa wanaonekana kutokua lkn wanakaa kwenye gemu muda mrefu ila magiant wanachoka...
Kuna wengine nilikutanao Nyamikoma nafikiri ni mkoa mpya Simiyu wakaniandikia faini eti sikusimama kwenye kivuko cha waenda kwa miguu na kuwasha taa za hazard,nilipotaka wanifafanulie vizuri sheria hiyo wakanionesha msg zao za magroup eti lazima nisimame niwashe hazard ndio nivuke na wakati...
Te te te umenikumbusha mbali,enzi hizo shule ikifungwa na huna nauli basi kila siku unakwenda posta kuulizia jibu lilikuwa bado,wakati huo hakuna simu za mkononi,kweli ilikuwa balaa na siku ikija unamkopesha na mwezio nauli anaondoka kwenda kwao na deni kulipwa mpaka atoke likizo!!!!
Usipanic, hizo umeua main fuse,fundi wa wiring anahitajika hapo sio suala kubwa la kukutia hofu sana japo fundi akikuona umepanic atatumia nafasi hiyo kukudanganya na kukupiga bei kubwa!
Wakudadavuwa tulia tu, wakati wa kurushiana mawe gizani ukasikia mmoja analia jua jiwe limempata, kelele unazopiga jiwe limekupata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni povu,huyu jamaa Edo anaona mbali, siku zote watu waliokuwa na mitazamo tofauti na jamii walionekana wasaliti na wasioitakia mema jamii,lkn wengine ilikuja kuonekana kwamba walikuwa wakisimamia ukweli na kusababisha jamii nzima ionekanekane ilikuwa chaka.Tunaambiwa watu zamani waliamini...
Pole sana ndugu yangu,dunia imebadilika sana sijui ndio unabii unatimia au la! Kizazi hiki watoto wana mambo makubwa kuliko watu wazima.Chakufanya kaa naye mwambie hali halisi bila kupepesa macho ili ukweli uwe wazi na hata ikiwezekana weka vikwazo kwa baadhi ya mambo kama kupiga marufuku mitoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.