Bubu Msemaovyo,fikiri kwanza,katikat ya jana na leo ndiko muda uliko, penye mwamko wa kiroho ndiko shetan huzungukia,umeshawah kufikiria ni kwa nn shetan alienda kumjaribu yesu nyikani na ni kwann hakumjaribu yohana na alikuwepo kala ya yesu? Waimbaji wa mbeya ni moja ya kielelezo tosha kuwa...
Wabongo bwana kwel vichwa vya wendawazim huyu sajuk mlijua atakufa lin?au mliweka mkataba na mungu kua afe kifo gan?cha msingi na busara kwa sasa tena cha shukuran kwa mungu ni sala na kuwaombea walioachwa na marehemu hasa kwa mkewe ambaye pamoja na hali yake pia kaachiwa familia ee mungu...
2nakubali ha2jui mapenz ni ulivyoona na kiufup hukupendwa hivyo usingepaswa kuona maana mapenz sio vaz ambalo kila mpita njia ataona umevaa 2najiheshm 2melele ktk maadil mazur na tena 2nawajal wapenzi we2 na kuwaridhisha kuliko ufikiriavyo sema kwakua hujui na hujui kam hujui maana ungejua kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.