Wewe ni mwalimu kwa nilivyokusoma,nimependa sana ustaarabu wako ktk kushauri juu ya swala hii...umeonyesha jinsi ulivyo na upeo mkubwa. Unajaribu kuielewa Dunia na sio mwepesi ya kuhukumu ama hupendi kabisa...Big up naamini unatufundishia vizuri sana watoto wetu.
Kuja kwenye mada,kwaulewa wangu...
Govi halina utamu wowote,ni risk tu ya kupata magonjwa especially in this Era of HIV,hepatitis,stds etc. Sasa mkuu kama unafuga hilo dude tafuta dr alitoe,kwanza huwa linatunza uchafu sana.
Swali la msingi ni je, mnapendana? Kama unampenda na yeye anakupenda olewa nae,swala la mtu kubadilika huko baadae hilo halipo ndani ya uwezo wako kama ambavyo hauna uhakika wa kumpata mtu mwingine ambaye atakuoa na mkaishi kwa amani.Mimi sio nabii lakini nakutabiria tu kwamba ukimuacha huyo...
Mkuu unataka kuniaminisha kwamba ktk maisha yako hujawahi kujisikia kutoa kitu chochote kwa mtu bure kabisaaa kulingana na uwezo wako...lets say umepita mtaani ukakutana na mtoto mdogo alafu una coins za kutosha ukajiskia kumpa coin moja au mbili freeely na hutegemei chochote toka kwa huyo mtoto...
Weekend yangu leo imeniendee poa sana na kwavile JF is my home na upendo wangu mkuu kwa wanawake wote nimeamua kutoa kazawadi kadogo kwa any MMU LADY atakaye kuja pm na kujieleza yuko wapi na anafanya nini. Zawadi ni pesa isiyozidi TSH 200,000/=na isiyopungua Tsh 50,000/=. Maelezo yako yata...
Nilikuwa domo zege ,nilikuwa soma soma ,nilikuwa mkali wa masomo yote class ...wadada walikuwa wanajileta kwa kisingizio cha niwafundishe,sikuwahi kuwa na demu ...nilikuwa boya sana kwakweli najutia fursa nilizopoteza za kukataa papuchi za wazi wazi. Lakini nimejirekebisha siku hizi ukijileta...
Pamoja na mambo mengine wanawake wa siku hizi na wenyewe ni mtihani mkubwa wa ku sababisha turn off kwenye game....unamuona msichana mzuri kifua kinavutia,tumbo la kawaida ,sura inaita ukifika nae chumbani akisha chojoa ndio unajua kwamba mtindi unatepeta kama lapa ,tumbo limeshikiliwa na tummy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.