Zawadi special for MMU ladies.

Zawadi special for MMU ladies.

New ID katika utafiti

Wakishajielezea walipo na wanachofanya unataka uwafanye nini sasa?

Mi siji
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Karne hii upewe cha bure labda kiwe kimechacha...

Asante kwa upendo wa agape, lakini Hapana
Mkuu unataka kuniaminisha kwamba ktk maisha yako hujawahi kujisikia kutoa kitu chochote kwa mtu bure kabisaaa kulingana na uwezo wako...lets say umepita mtaani ukakutana na mtoto mdogo alafu una coins za kutosha ukajiskia kumpa coin moja au mbili freeely na hutegemei chochote toka kwa huyo mtoto na wala wewe kutoa hivyo haikuumizi chochote???
 
New ID katika utafiti

Wakishajielezea walipo na wanachofanya unataka uwafanye nini sasa?

Mi siji
Nitawaibukia kwa bluetooth..hahahah I am joking.Mkuu hakuna cha zaidi ya hicho nilicho eleza hapo,thanks for curiosity.
 
Mkuu unataka kuniaminisha kwamba ktk maisha yako hujawahi kujisikia kutoa kitu chochote kwa mtu bure kabisaaa kulingana na uwezo wako...lets say umepita mtaani ukakutana na mtoto mdogo alafu una coins za kutosha ukajiskia kumpa coin moja au mbili freeely na hutegemei chochote toka kwa huyo mtoto na wala wewe kutoa hivyo haikuumizi chochote???
Kutoa huwa natoa saana tu, lakini natoa sababu naona hali halisi ya mhitaji...

Sasa humu mkuu, ati mtu aje ajieleze tuu umpe hela hiyo imekaaje... We peleka hizo hela kwa watoto yatima ama mpe tu mamy wako na leo ni siku mama duniani... Mnunulie zawadi akupe baraka na azidi kukuombea heri

Mie cha bure Sitakiiii
 
Haha..anataka kula kiulaini,quid pro quo principle itamhusu mtu
 
Back
Top Bottom