Zawadi special for MMU ladies.

Zawadi special for MMU ladies.

Utakua unafanya kazi sirikalini na hujaajiriwa, baada financial accountant kuzunguza mshahara wenu kwa wiki mbili hatimae leo umeingia na unaona kuhonga mbao sio mbaya..

Sawa. Ladies changamkieni fursa
 
Huwa naogopa hii "ukila cha mtu lazima nawe uliwe"...
 
Kama kuna ugawaji wa zawadi humu basi Paprika ana zawadi yake inamsubiri kutoka kwangu
 
ndio maana jukwaa la "MMU" limedorora sasa hivi.

inaonekana karibia wote wapo inbox yako mzee. fanya umalize basi utuachie MMU ladies wetu tu chati nao humu jukwaani.
Kutuma message moja hakuwezi kuwapoteza Mkuu,mbona wamejaa teleee hapa MMU
 
Back
Top Bottom