Recent content by Msigwaem.ueuo.com

  1. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa bites

    帮助用户轻松、
  2. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Mchumba /mume

    nipo hapa.
  3. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa bites

    帮助用户轻松、安全地管理数字资产。此外,还将绑定区块链钱包助记词和打通交易所账户入口,以此可查阅个人账户各个平台所有资产。
  4. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa tv za Sony Trintron msaada wenu

    TV yangu Risisngi inatatizo la Kutowaka kabisa. Inaonesha Indicator ya Red Kwenye Power status tatizo ni nini? Muda mwingine ikikaa kwenye umeme kwa muda flani inawaka sasa sijui tatizo ni nini? Msaada wenu tafadhali
  5. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Now its online ingia http://www.blera.go.tz
  6. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Sales consultant: tunakopesha

    Utalipwa 8% ya mkopo alio kopa mteja so ili usavaivu lazima kwa mwezi upate angalau wakopaji 3 ambapo kila siku unatumia nauli,chakula vya kwako.
  7. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotoa elimu za Ujasiriamali wao wametajirika?

    Is a one of great innovation hata wewe unaweza ukawa mkufunzi wa kada fulani
  8. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mimi nakushauri kama kweli unataka kufanya biashara kwenye laki tatu elfu 80,000/= nenda kwa fundi chonga kimeza kidogo tuu cha kuuzia urembo, 50,000/= nenda Machinga complex nje/Buguruni/tandika/Mbagala langi tatu stendi,Mwenge na maeneo mengine yenye watu wengi tafuta kigori. Kisha nenda...
  9. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lenjen Group of Companies

    Email ya hr@lenjen.co.tz imesha jaaa haipokei tena emails
  10. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Web systems design and hosting workshop.

    Date: 15th August 2016 to 18th August 2016. Venue: Techno Brain second Floor Room No.3 Charges: Tsh:50,000/= for students & Tsh:100,000/= for non students. Certificates will be awarded upon completion of workshop by Semic IT Solutions. Mode of Payments: you may come direct to 2nd Floor...
  11. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya vitambusho

    Kaka mimi nilikuwa nahitaji kutengenezwa vyeti vya wanafunzi ninao wafundisha cozi mbalimbali vipi gharama zako zikoje? contact: 0714 596405 skype:msigwaem
  12. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Ofa kwa shule za Sekondari zote

    StarLink group kwa kutambua changamoto mbalimbali zinazozikumba shule mbalimbali hasa za Sekondari namna ya kutunza nyaraka mbalimbali za shule, zikiwemo; 1) Ripoti za Wanafunzi 2) Record za Wanafunzi (Matokeo mbalimbali ya Mitihani na taarifa nyingine) Tumetengeneza Application inayoitwa...
  13. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Je wewe mbunifu wa kutengeneza FM radio transmitter na kufunga radio jamii 50km?

    Mimi ninayo private na ninaweza kutengeneza Radio stations kwakutumia FM-wireless microfone na Receivers.Ambayo inaweza kusambaza matangazo si chini ya km 10 mahali nilipo na zaidi. na inaweza kutumia solar au Batry kama source power Na inashika ndani ya FM band tu.Kama unahitaji nitafute kwa...
  14. Msigwaem.ueuo.com

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Basi si vibaya nami nitoe dukudukulangu. Nikiwa katika harakati za research ya kufungu biashara nikawa napiga stori na ndugu mmoja akawa ananiambia kwamba Hapo kariakoo sikuhizi hata wao wenyewe hawapatani kutokana na mfumo wa biashara unaoendeshwa kwa sasa(mtu anafungua biashara kutokana na mtu...
Back
Top Bottom