Recent content by Msigwa Amos C

  1. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana kati ya ccm ya mwenda zake na CCM ya Mama yetu. Mabadiliko yaliyotokea kwenye mifumo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ni kama zilikuwa CCM mbili tofauti.
  2. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania BABATI: Askari wa FFU amuua mzazi mwenzake kwa kumshona risasi nne akiwa lindoni benki ya NMB

    Yote hayo sababu kubwa ni ugumu wa maisha watu wanastress saiz
  3. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    Maji hufuata mkondo, wanahela mpka zinawakifu Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
  4. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Mataifa(UN) hauna Mwenyekiti bali Katibu Mkuu?

    Nimeuliza mwenyekiti tu hayo mengine yanafahamika
  5. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Mataifa(UN) hauna Mwenyekiti bali Katibu Mkuu?

    Toa melezo kidogo
  6. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Mataifa(UN) hauna Mwenyekiti bali Katibu Mkuu?

    Habari wana JF Naombeni mnisaidie kunyambua hili suala, tangu mdogo kipindi hicho mzee anamiliki radio ya mkulima ikifika saa 7 mchana anafungulia DW ujerumani mi nikiwa na miaka 12. Sijawahi kusikia mwenyekiti wa UN (umoja wa mataifa) huwa nasikia katibu wa UN tu. Ni kwamba hakuna mwenyekiti...
  7. Msigwa Amos C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CHADEMA au UKAWA kwa upande wa Kenya tunamsuport Kenyatta au Odinga?

    Chadema au Ukawa kwa upande wa Kenya tunamsuport Kenyatta au Odinga?
  8. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Inawezekana kabisa...muandae vizur mpka awe mbichi afu piga moko tu, ukijifanya kidume unapga kumi...ndo ujue imekula kwako ushanasa
  9. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke tajiri anataka niache chuo tufanye biashara

    Hahahahaha daaah asanteni kwa ushauri wenu
  10. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke tajiri anataka niache chuo tufanye biashara

    Nitajitahid niupate ukweli zaid
  11. Msigwa Amos C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke tajiri anataka niache chuo tufanye biashara

    Asante kwa ushaur
Back
Top Bottom