Recent content by msigazi

  1. msigazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

    Mbona zipo
  2. msigazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Team kataa ndoa mnasahau kwamba hata simu mpya ina matatizo yake?

    Ana hasira ya upweke 😂😂
  3. msigazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Brysoni Magesa anatarajia kugombea jimbo kipya la katoro Baada ya Busanda kuharibu vibaya sana
  4. msigazi

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuondoka CHADEMA HII hata kama CCM wanakununua Kwa Mamilioni ya FEDHA?

    Wabangaizaji na matapeli WA kisiasa NI ccm
  5. msigazi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

    Hakuna faida yoyote kwa walala hoi Wanajimilikisha wao tu Wananchi maisha yao yako taabani Wakati nchi imejaa maziwa na asali
  6. msigazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno mapya yakiswahili nisiyovutiwa nayo...

    Nami nitoe dukuduku langu Neno lengine sio kiswahili sanifu Kiswahili sanifu tunasema lingine,kingine ni Pia Neno Mbashara halifurahishi badala yake iwe matangazo ya moja kwa moja Maana yake hayarekodiwi kwanza Kuna Mnyama mwingine wamempa JINA nyegere Naomba watafute JINA jingine asante
  7. msigazi

    JamiiForums Tanzania Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

    Fahamu zilikujaje wakati ulikuwa hujifahamu?
  8. msigazi

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

    Ifurugutya ndezu
  9. msigazi

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia, ni dhambi au si dhambi kwa Mkristo kunywa pombe?

    Kwa mjibu wa dini sio dhambi Kwa mjibu wa Biblia Neno la Mungu ni dhambi
  10. msigazi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Manguruwe matatani, asomewa mashtaka 28 ya utapeli, uhujumu Uchumi

    Amebaki tapeli wa tiktok mzee wa mbao nyekundu
  11. msigazi

    JamiiForums Tanzania Kuna wahubiri siku hizi wanauza maji, chumvi ama mafuta je walipe kodi?

    Walipe kodi Hakuna namna
  12. msigazi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

    Alishindwa kuwekeza kwa Mungu akawekeza kwa shetani Matokeo ndo hayo sasa
Back
Top Bottom