Recent content by mshumbusi

  1. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Manji bado anaumwa, apatiwa matibabu gerezani

    kwenye msiba wa wanji utakuta ccm wanenda na makonda na mgufuli atakuwepo subili uone.... pole pole atatoa neno kwa niaba ya chama subiliuone
  2. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku kuzungumzia suala la Faru John

    Timwambia hatatumbua vijipu uchungu tu majipu yenyewe haya shikiki ukilishika unakua ni kiongozi Mkubwa wa chama hahahah mwisho wa story za faru john ....... Sisonje kesha shindwa kama alivyo shindwa lugumo hahhaha sisi tumetulia tunamwangalia anavyo angaika
  3. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar yawa ombaomba

    Hakuna pesa isiyo kuwa na matumizib
  4. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar yawa ombaomba

    Habari wana javi Leo imetapakaa barua ya kuomba msaada wa kifedha kukamilisha sikuku ya mapinduzi ya Zanzibar
  5. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Makala ya kiuchunguzi kuhusu 'Sakata la Dkt Mwele Malecela' na ZIKA

    Dr mwele kwauliyo yafanya kama bado ujaolewa nikupe zawadi ya mm kukuoa
  6. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    Aitwe mungu
  7. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Najua hata apple walikataa na serikali ya marekan ikaamua kutumia wadukuzi wake kifunga simu hapa kwetu tunamshauli maxence melo kutotoa taarifa yoyote hadi kesi yao ya kikatiba iliyo funguliwa isikilizwe na iishe
  8. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Muungano: Wazanzibari wadai kura ya Maoni

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sasa kuvunjika,kesi iliyofunguliwa na wazanzibari 40,000 yawagawa wanasheria wa smz na smt hadi hii Leo wote washindwa kujibu Madai yaliyowasilishwa mahakamani dhidi ya Muungano,baadhi ya wahafidhina wa ccm Zanzibar wataka muungano uwe mwisho Rais...
  9. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwanini uteuzi wa Nchimbi unachukuliwa kama hujuma kisiasa?

    Habari wana jamvi Dr E.nchimbi Nimwanasiasa machachali ,asie jua kuongea nimemfahamu toka nipo SONGEA boys .Nchimbi ana CV nzuri sana kwenye upande wa mipango ya ushindi na Ushindi mfano kama unakumbuka lowasa alivyotolewa kwenye orodha ya wagombea yeye ndio alijulisha dunia kuwa lowasa...
  10. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

    Moderate , mnacho Fanya sio poa hata kidogo Jana niliandika kuna tetesi ya kiwanda cha dangote kuamia Kenya ila hiyo nyuzi mliitoa Haya Leo yamekuja mengine please mrudishe ile nyuz
  11. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji: Aibu kwa serikali yenye nia ya kuendeleza viwanda

    Kiwanda kikubwa kama kile inatakiwa waondolewe kodi kwenye baadhi ya mambo kwakua kodi seikali inachukua maeneo mengi kupitia ajira
  12. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji: Aibu kwa serikali yenye nia ya kuendeleza viwanda

    Mzee biashara ni faida na makaa ya Mawe yapo kwenye grade sasa inawezekana yanayotoka south yana quality nzuri na bei chini magu anapotoshwa na wasaidizi wake duniani kote wafanya biashara wanaeshimika
  13. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Nichek Whatsup ili niweze kukuunganisha na mteja 0786004243
  14. mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    niviashiria vya madini hayo yako ni langi gani
Back
Top Bottom