Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

Chadema kuweni makini sana,mnaweza kubambikiwa kesi ya Ben saa 8 wakati wahusika wanajua alipo Ben SAA 8
 
Kuna watanzania wanafuraiya mambo yanayoendelea serekali kuuwa upinzani,huku wakijuwa wanaikomoa Chadema,lkn hakika siku Chadema ikifa tutakoma
 
Sasa aitweje jamani?!akiitwa uchwara sijui nguchiro lawama,akiitwa mtakatifu sijui mtukufu lawama tunaomba tuambiwe moja tumuiteje?...or iundwe tume ya kuchagua jina kwamba huyu mtu aitweje!mbona kuna tume ya kuchunguza kifo cha faru John!hata yeye ana haki yakutafutiwa jina zuri wafanye waunde tume.
 
Back
Top Bottom