Recent content by mshkaki79

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Iwapo nchi itakubaliana visasi kama hivi kwa watu waliokosa fursa niwazi nchi ntakuwa genge la watu wahuni walioshindikana !! Kama mtu alipewa mdomo na fursa akinyang'anywa anatoa siri zote ni sawa na mwanaume mtoto aliyekosa malezi !! Nini kitatokea iwapo kila mtu ataamua kutoa siri za x wake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ujasiri umejipotea ghafla

    Naona umeamua kutangaza biashara huria
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Hiyo ni nafsi jamani wote tutaonja mauti si vzr kushangilia kifo cha mtu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haya mambo 5 watu wa Dar wanayafanya bila aibu, ila kwa mikoa mingine ni mshangao au aibu tupu! Je, ni maendeleo au tunapotea?

    Watu kuomba / na kutumia liwati kama jambo la kawaida !! Zamani kinyume na maumbile ni jambo la aibu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Kufuga mivuzi ya kwapa bila usafi na halafu kuvaa nguo za mikono mifupi !! Pata picha uko kwenye daladala na umekosa siti
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

    Kama hoja gani mh !! Hoja ya kutekwq ilikuwepo yeye akiwa mmbunge na wakusini maeneo ya kibiti na rufiji ni waathirika wakubwa nayeye alikuwepo mbona hakufungua mdomo kusema
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

    Ukweli unasemwa pale unapokuwemo usisubiri kubanwa kwa maslahin!! Huyu alikuwa mkweli lkn alivyopewa Tonge akanyamaza mnafiki tuu !! Kuna watu waliawa Kibiti wakati wa magufuli maiti waliokotwa kwenye viroba yeye kutekwa dada yake na hajafa atananua mdomo kama kivuko !! Hao wenzake atulie tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

    Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!! Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!! Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!! Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

    Kuna hii ziada ya kupewa mikundu ambayo ndoani huwa hakuna
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Madonda ya tumbo yananitesa tumbo linauma sana

    Chukua bamia mbichi visage kwa Brenda kiasi kama tano hivi uwe unakunywa hilo zege kabla hujala kitu kwa muda wa siki 7 mpaka 21 inategemea na ukubwa wa vidonda vyenyewe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati za ALAF

    Hizo bati ni ngapi? Nifate inbox
Back
Top Bottom