Recent content by MSHINO

  1. MSHINO

    Ushauri: Kuongeza Tax base, Rais na Wabunge walipe Kodi

    Siyo sahihi kabisa, posho na mshahara wa wabunge est 12m per month x no of MB x 12months = lost tax income. 2. Siyo tax exempted hata sheria ya mafao ni double standard. Wabunge hawasubiri miaka ya ku retire kupata mafao yao.
  2. MSHINO

    Ushauri: Kuongeza Tax base, Rais na Wabunge walipe Kodi

    Haki inaenda na wajibu, kila mwananchi walipe kodi lkn serikali ifanye wajibu wa matumizi sahihi ya kodi. 1. Kununua magari ya bei ya kawaida km hardtop na hilux kwa wakuu wa mikoa na wakurugenzi mpaka mawaziri. Mashangingi iwe kwa Rais, makamu wa Rais, na waziri mkuu. 2. Report ya CAG...
  3. MSHINO

    Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

    Hiyo ni project ya JPM aliacha amelipa advance.
  4. MSHINO

    Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

    Toa pesa wewe upewe matangazo
  5. MSHINO

    Rais Samia anafanya makusudi tu

    Inasikitisha sana, wiki iliyopita nilik Wiki iliyopita nilikuwa wilaya za Kibondo na Kasulu nilishangaa kuona magari yenye namba za Rwanda, Kenya na Burundi kuwa vijijini kununua mazao ya chakula muhogo na maharage direct kutoka Kwa wakulima , kwa nini tunashindwa kulinda soko letu ?
  6. MSHINO

    Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Ndiyo pesa ziko nje mwacheni aende, si mnajua ndani hakuna kitu. Km nyumbani kwako wakati wa kilimo hulimi utavuna kweli? lazima utafute vibarua au msaada. Mama kaza mwendo tafuta hela.
  7. MSHINO

    Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Zambia kuna TAZARA mkuu au umesahau?
  8. MSHINO

    TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Tunajua kwa nini TCRA wamemfungia: Pia na wao hawana makosa kwa sababu TCRA haiko huru ulitaka boss TCRA afanyeje amfungie Polepole au afukuzwe kazi? kwa kifupi tunahitaji katiba mpya ila kila taasisi iwajibike kwa wananchi badala ya kwa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala. 1. Lkn...
  9. MSHINO

    Tulinganishe kauli mbiu na vitendo

    Mkweli ni Yupi kati ya hawa: Uwazi na ukweli, Maisha bora kwa kila MT, Hapa kazi tu, Kazi iendelee Ni awamu gani Ilitafsili kauli mbiu kwa viendo tukianza na awamu ya 3? Awamu ya tatu: Mzee Mkapa (R.I.P) Kaulimbiu : Uwazi na ukweli Awamu ya Nne: Mzee Kikwete Kauli mbiu : Maisha bora kwa kila...
  10. MSHINO

    Tumulike ufisadi: Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru za December 2015 zikapanue barabara ya Morocco

    http://www.zanzinews.com/2013/03/mwenyekiti-jukwaa-la-wahariri.html Mmiliki wa Home Shopping Centre amwagiwa tindikali usoni LWAKATARE AACHIWA HURU NA KUKAMATWA PAPO HAPO https://zittokabwe.wordpress.com/2012/06/27/dr-ulimboka-kutekwa-kupigwa-na-kuumizwa-serikali-inawajibika-kutueleza/...
  11. MSHINO

    Tumulike ufisadi: Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru za December 2015 zikapanue barabara ya Morocco

    Watu bwana, aliwaua akina nani? mbona watu walikuwa wanamwagiwa na kutolewa macho hata kabla ya JPM, hata sasa dola ipo ukifanya unataka kuwa juu ya usalama wa nchi utashughulikwa tu, kuna watu wanafikiri kuongoza nchi ni kitu chepesi. ukipewa onyo acha husikii, kila siku ukiamka unamtukana...
  12. MSHINO

    Rais Samia jitahidi ukiwa na 'Jazba' Kauli hii usiwe unaisema

    Kwa hiyo unataka na mama afanye km JPM siyo?
  13. MSHINO

    Tumulike ufisadi: Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru za December 2015 zikapanue barabara ya Morocco

    HUNA SHUKRANI KABISA NAAMINI KM UPO DAR ULIKUWA UNAPITA HIYO BARABARA, WATANZANIA HATA AJE MALAKIKA ...... JPM HACHAFUKI HATA UFANYEJE.
  14. MSHINO

    Rais Samia jitahidi ukiwa na 'Jazba' Kauli hii usiwe unaisema

    Kuna tofauti kati ya Rais Samia na awamu zilizopita, Rais Samia alikuwa msaidizi wa JPM, akitaka ku WIN ma group ndani ya CCM ni kukaa kimya na kufanya yake kwa kutumia taasisi za Urais
Back
Top Bottom