Recent content by mshamba mchangamfu

  1. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

    ulishawah fatilia mahojiano Ya BWM ? Tone yake ?
  2. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

    its politics au unafikiri hilo nalo ni la kushangazaa
  3. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Unaposhindwa kusikilizana na madiwan au wazee wa chama ukataka kuacha kazi basi umeshindwa kazi sio kutaka by the way madiwan wanaingilianaje kiutendaji na DC kiasi cha kutaka kuacha kazi labda DED ningeelewa
  4. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Wale walokuwa wanamimina sifa ndo ambao sasa wanalia

    We enjoyed the piper tune forgeting that he who pays the piper will choose the tune
  5. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rethinking retirement planning

    Down the memory lane did you ever play those child-playing marbles in your heydays? This game used to sharpen our geometry skills as we tried hard to position ourselves to a point where we would knock the opponent marble and be able to go into the ring. Now this story isn’t about marbles though...
  6. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Jeshi linauelewa wa kutosha juu ya magonjwa ya mlipuko ? Je watanzania si waelewa kiasi itumike nguvu ? Nadhan kwa maoni yangu jeshi letu liachwe, kwenye hili wao wenyewe wana vifo vingi hawavitolei hata sbb just take the case la wale waliopoteza uhai kiangaiko hapo
  7. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Mfugale amuokoa Kamwelwe kutumbuliwa

    Mfugale alishamvimbia PM pia
  8. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania The middle class card

    Mimi si mfuatiliaji sana wa maswala ya siasa ila kwa tukio la hivi karibuni la viongozi wa Chadema kutakiwa kulipa faini ya Tsh. 350mil nadhani kila mtanzania kwa nafasi yake amekuwa akilifuatilia hili Nilijiulizwa maswali kazaa wakati nikishusha ka eagle baridi ili nikajilaze na uchovu wa siku...
  9. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

    Kuna hadithi ya barmaid mmoja alikuwa anagawa mzigo kwa mwenye bar alisumbua sana wateja tuliwaachia bar yao wahudumiane wawili tu
  10. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania As Tanzania’s Magufuli attempts to fool the world, his secretary-general spills the beans

    Ngurumo pekee aliekuwa rahisi kumuelewa ni yule wa msondo
  11. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Tuanze kisia motives za aliempa sumu
  12. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Mentality ya wazazi yuko tayari kulipa ada Tsh. Milioni 5 siyo kukupa mtaji wa Milioni 3

    Ujamaa (aliokulia mzaz wako ) haukuwah kufundisha haya na ww una haya sbb umekulia kwenye mazingira yasiyo ya kijamaa 100% na unaweza pewa huo mtaji ukafeli maana hujakulia kwenye ubepari wa 100% mfano wako wa mo dewji ana exposure kubwa ya kibepari amesoma US usisahau hili wazaz wapo sawa na ww...
  13. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Predecessor curse is for everyone

    Kuna tukio huwa nakumbuka tukiwa wanafunzi wa sekondari tuliwah badirishiwa walimu wa 3 kwa muda wa kipindi kifupi cha ajab mwl.wa kwanza alipokuja tukamwambia tuliishia topic flan ila hatukuilewa vzuri Yule mwl mpya namba moja akaifundisha tena maana ilikuwa ni msingi muhimu kwa topic...
Back
Top Bottom