Aisee Halmashauri ya Kibaha ijitafakari, wacha niyaanike majina ya baadhi ya wababaishaji, wasanii, na wahujumu uchumi kwa kurudisha nyuma juhudi za Mama.
1. Idara ya Mipango mji inayoongozwa na Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la (Shushu)
2. Mkuu wa Idara mwenye ukabila na mbabaifu sanaa...
https://www.jamiiforums.com/threads/udhaifu-maoni-na-mapendekezo-kwa-tume-ya-ajira-psrs.2027973/
Udhaifu, Maoni na Mapendekezo kwa Tume ya Ajira "PSRS"
https://www.jamiiforums.com/threads/udhaifu-maoni-na-mapendekezo-kwa-tume-ya-ajira-psrs.2027973/
Udhaifu, Maoni na Mapendekezo kwa Tume ya Ajira "PSRS"
Kwa vijana wengi, hii kitu / tume ya ajira imekua kichefu chefu sana na yanayoendelea yanakatisha tamaa mno.
1. Udhaifu
Tume inafanya kazi manual, yaani chaguzi za watahiniwa / wasahili unafanyawa na unaamuliwa na watu. Hii husababisha / huweza sababisha kuwepo kwa upendeleo, kuacha mtu mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.