Recent content by Mshabahah

  1. Mshabahah

    Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

    Nani ameona maneno lisu na chadema yametajwa mara ngapi kwenye hizo spana? ndio utajua hujui
  2. Mshabahah

    Mtaji wa Tsh 60000

    Nipo arusha wakuu. na dukani nauza vitu vya rejareja ndio naanza mdogomdogo now nina wiki tatu.
  3. Mshabahah

    Mtaji wa Tsh 60000

    Asanteni sana kwa maoni ndugu zangu
  4. Mshabahah

    Mtaji wa Tsh 60000

    Wakuu habari za majukumu. Kama bango linavoonekana hapo. Nina mtaji wa Tsh 60,000 nataka niiwekeze hapa nje ya kaduka kangu, naweza kufanya nn angalau inilipe? Natanguliza shukrani, msaada wako wa maoni ni muhimu sana.
  5. Mshabahah

    Masoud Kipanya: Jeshi la Polisi liwe fair kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa

    Huyo dada ni chawa tu Kazingua. bora angeaoma tuu
  6. Mshabahah

    Masoud Kipanya: Jeshi la Polisi liwe fair kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa

    Nimesikiliza aisee. Halafu Barabara anaogopa kusoma maoni ya wadau. kimsingi Masoud ameamua kutoa la moyoni
  7. Mshabahah

    Kikwete: Nimezungumza na Mkapa karibu saa nzima jana, hakuwa mgonjwa kusema anatia shaka

    Depotivo bado haijashuka daraja jaman tujihadhari twaweza kutana nayo.
  8. Mshabahah

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Ila kweli wasaliti hawatakiwi kupewa nafasi. maana hao wajumbe watakua wajinga. waache kumpigia kura mkereketwa mwenzao wampigie mhamiaji?
  9. Mshabahah

    Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

    Mkuu akili zako ndio zimefikia kikomo au kuna zingine bado hujazitumia hahaha
Back
Top Bottom