Mtaji wa Tsh 60000

Mshabahah

Senior Member
Feb 21, 2017
186
235
Wakuu habari za majukumu.

Kama bango linavoonekana hapo.

Nina mtaji wa Tsh 60,000 nataka niiwekeze hapa nje ya kaduka kangu, naweza kufanya nn angalau inilipe?

Natanguliza shukrani, msaada wako wa maoni ni muhimu sana.
 
Nenda Sheli kachange coins then Chukua Sturi Weka Sahani zpange mafungu Uanze kuuza change

NB : Jibu na Signature yangu havina Uhusiano
 
Nipo arusha wakuu. na dukani nauza vitu vya rejareja ndio naanza mdogomdogo now nina wiki tatu.
 
Weka sabufa
Acha dharau dogo
Screenshot_20200813-231144.jpg
 
Back
Top Bottom