First, second year skuwah pata supp, third year semester ya kwanza nikapata supp mbili, policy, planning and programming na industrial, skuzoeaga izo mambo nilikonda mbona, kila nikiziangalia nahis sita graduate nta carry, sometime nilkua naota usiku nimeshindw kuzichomoa, me ushaur wang ni...
Unasoma miaka mitano me hiyo kwangu ni changamoto, af idad yenu ni nyomi apa saut wakiw wanatoka darasan utadhan tuko kariakoo, hii inaonyesha kupata ajira ni mziki
Item inaitwa meals and accommodation kwanini wanaiweka kama ni meals tu, hiyo miez ya korona tulirudisha vyumba au ? Au wanadhan tunakaa guest ? Kodi ilisoma kama kawa na inaendelea kusoma,
napewa iyo hela sio nile tu nilipie na kodi, ukiachana na hilo, watu wanaitumia kama ada pia,
Cha...
Nishapoteza miaka yangu mitatu namalzia semester ya mwisho now (bachelor) na nyie mkapoteze muda.
Nashauri kama unajiamini, elim ya diploma inatosha sana, pesa iko mtaan, degree inakutengeneza kua mtumwa wa taasisi
Nilifanyaga mistake hiyo kwa kuandika baba mlemavu, systeam ikadai barua, nilidata.
Haikutakiwa afanye hivo kabla ya kua na Cheti, hapo kilichobaki ni kukamia cheti kipatikane, hakuna kinachoshindikana tatizo inakuaga hela.
Movie za mapigano Bongo zinakwama wapi asee, naona tumerudi kwenye tamthilia za masimulizi nazo bado stori zile zile unaikumbuka Misukosuko, na Penzi la Misukosuko.
Uliangalia ulikuwa kibanda umiza au we wakishua uliangalizia home. Nakumbuka enzi izo baada ya kuangalia movie mnatoka nje kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.