Recent content by mseseve

  1. mseseve

    Heat transfer/press machine

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina 2plates mashine ya kuprint picha/kuweka picha kwenye nguo kama T-shirt n.Ni kubwa industrial machine ina sahani 2 ambazo unaweza kufanya kazi nyingi kwa muda mfupi.Mashine ni mpya haijatumika sana Bei 2.5mil Bei inapungua for seeious...
  2. mseseve

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    Ahahahaa.....maana yake ni kwamba VINAONGEZEKA KWA KUPUNGUA....eg kama mwaka juzi viliongezeka 20 mwaka jana 22 na mwaka huu vitaongezeka 21na mwaka kesho vitakuwa stagnant 20 maana kama expctation ya ilikuwa ku double
  3. mseseve

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    Me ningeshauri serikali ibaki kama kiranja mkuu tuu na regulator mkuu wa uchumi but all means of production ziende sector binafsi maana ndio engine ya uchumi na ni mtoaji mkubwa wa ajira..serikali ibaki kutoa elimu na kukusanya kodi tuu.
  4. mseseve

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    Pindi utakapokuja jua mwongo ni nani...uko shimoni tayari sijui lawama zitaenda kwa nani coz mwenye rungu mwoga....
  5. mseseve

    Nahitaji fundi mzuri Wa gear box

    Aisee hata mimi nina nissan sunny...inachelewa sana kwapasha mpk natembelea no.1...Ukiweka Drive inachelewa sana mpk ipate moto
  6. mseseve

    SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Ahahahhaaaaa....aiseee umenichekesha sana....dungulu........
  7. mseseve

    kwanini ndg zetu Wakenya mnapenda kujenga ghorofa halafu mnaezeka na nyasi?

    Namwona mchina anatokwa na jasho kuwafundisha mabashite...[emoji12] [emoji12]
  8. mseseve

    kwanini ndg zetu Wakenya mnapenda kujenga ghorofa halafu mnaezeka na nyasi?

    used one...wakiishaitumia then wakija na new technology...hizo wanapaka rangi kisha wanawaletea wakenya wanawadanganya ni mpya....ahahhaaaa...hatudanganyikiiiiiii
  9. mseseve

    kwanini ndg zetu Wakenya mnapenda kujenga ghorofa halafu mnaezeka na nyasi?

    ahahaahajaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. mseseve

    David Beckham atua Tanzania. Utalii Tanzania unapaa

    tatizo wakenya wamedumazwa na jangwa
  11. mseseve

    David Beckham atua Tanzania. Utalii Tanzania unapaa

    katutanza kimataifa...mh. magifuli keshapiga total bun kwa ndege lenu....sasa kutakuwa na direct flight toka majuu mpk tz....kq watajamba checheeeee.....huu ni utawaoa mupyaaaaaaaaa......na mkizoea kutegemea watz ktk kila kitu sasa mambo yamebadilika
  12. mseseve

    Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa SGR ya Kenya

    nadhani hatupaswi kuilinganisha the beautful coming hit train yetu watz na gari moshi lao...washindani wetu watakuwa ethiopia na sii wao tutakuwa tunawaonea.....
  13. mseseve

    Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa SGR ya Kenya

    wachina wenyewe kwetu wapiga deal tuu...tunakimbizana nao kariakoo kwenye biashara ya rejareja.....
Back
Top Bottom