kwanini ndg zetu Wakenya mnapenda kujenga ghorofa halafu mnaezeka na nyasi?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,661
21,639
How comes unakuwa na kitu as fine as this one(ghorofa)
images.jpg
Halafu out of nowhere you buy this medieval firewood powered locomotive (nyasi)
sgr.jpg
,no wonder why Uhuru was a guest speaker kwny summit ya G7,G7 they re very concerned with you guyz,mnachangia kiasi kikubwa sana cha hewa ukaa in EA.
 
you must be living under a huge rock...this issue has been discussed into details until there was nothing left to discuss about..but if you have just emerged from Pluto then I will understand
 
How comes unakuwa na kitu as fine as this one(ghorofa)View attachment 516385Halafu out of nowhere you buy this medieval firewood powered locomotive (nyasi)View attachment 516391 ,no wonder why Uhuru was a guest speaker kwny summit ya G7,G7 they re very concerned with you guyz,mnachangia kiasi kikubwa sana cha hewa ukaa in EA.

Ni kama vile mnajenga barabara mpya huko alafu magari zenu ni mzee kupindukia.
Reli ni kama barabara, treni ni kama gari. Reli itabaki, treni yaweza badilishwa wakati wowote.

Kwanini msimalize kujenga yenyu kwanza ndio muongee?
 
How comes unakuwa na kitu as fine as this one(ghorofa)View attachment 516385Halafu out of nowhere you buy this medieval firewood powered locomotive (nyasi)View attachment 516391 ,no wonder why Uhuru was a guest speaker kwny summit ya G7,G7 they re very concerned with you guyz,mnachangia kiasi kikubwa sana cha hewa ukaa in EA.

Afadhali sisi tumeezeka gorofa yetu na nyasi, nyinyi mtaanza kujenga yenyu lini? Mliwatukana wafadhili wenyu, mkawageukia wale wengine ambao hata pesa hawana.

Saaizi naskia mnakimbiakimbia huku na kule kama kuku aliyekatwa kichwa kuwabembeleza wafadhili.

Pengine yule ataongea na wale magupta kuwapa pesa.

Kenya tayari imeshajenga gorofa yake, kasoro kuweka paa ya nyasi, na hilo ni kwa muda tu.
 
How comes unakuwa na kitu as fine as this one(ghorofa)View attachment 516385Halafu out of nowhere you buy this medieval firewood powered locomotive (nyasi)View attachment 516391 ,no wonder why Uhuru was a guest speaker kwny summit ya G7,G7 they re very concerned with you guyz,mnachangia kiasi kikubwa sana cha hewa ukaa in EA.
Hizi hapa reli za mizigo za hao G7 -Britain, US, Italy, ...

UK
freight-438439.jpg

US

up-freight-train-325x294.jpg

EP-150618827.jpg&updated=201506191452&MaxW=800&maxH=800&noborder

AR-150618827.jpg&updated=201506191452&MaxW=800&maxH=800&noborder

2209-bnsf-logistics-park-kansas-city-7151.jpg

EU
3378237.jpg

3C3DDA3800000578-4132308-image-a-29_1484757847867.jpg

Military+Vehicles+on+CSXT+Railroad+train+passing+thru+Cordele+Georgia+Crisp+County+GA.++US+Armed+Forces+Humvee+Fighting+Vechicles+CSX+Freight+Train.JPG

005615-RGB-wjj-%C2%A9-military-equipment-on-westbound-BNSF-manifest-train-going-through-Live-Oak-crossovers-Waggaman-Louisiana-USA-3-March-2012.jpg

GE_RETOUCHED_35A5839_V2.jpg

Hio inayotumika Marekani ndo inasemekana ni world most efficient freight Locomotive iligengwa na GE.. Hii hapa ikijengwa

locomotive-in-the-paint-shop.jpg

operator-and-auxiliary-cab-on-platform.jpg

bnsf-final-assembly.jpg

trucks-in-progress.jpg

truck-assembly.jpg

How GE got on track toward the smartest locomotives ever

Sasa vile umeelimika kidogo, rudi kwa hio picha ya reli ya mizigo ya kenya alafu uniambie iko wapi kwa maumbile ukilinganisha na hizo nyengine za mizigo za kutoka nchi za G7
 
How old are these trains?
 
used one...wakiishaitumia then wakija na new technology...hizo wanapaka rangi kisha wanawaletea wakenya wanawadanganya ni mpya....ahahhaaaa...hatudanganyikiiiiiii
 
Mnatumalizia bando na picha zenu hizi hizi za kila siku humu JF
 
Back
Top Bottom