Jana nilisikia Jamaa moja akisema kwenye uzinduzi ya SGR ya Kenya akitamka kuwa bila Kenya hakuna Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tamko hili liliniudhi sana.
Alipoulizwa kuwa mbona SGR ya Kenya imegharimu fedha nyingi kuliko ile ya Ethiopia ili hali umbali wa SGR ya Ethiopia ni mbali kuliko ya Kenya na imegharimu fedha kidogo.
Jamaa akakwepa hilo swali la ufisadi akarukia ooh unajua reli hii italeta ajira nyingi, muda wa safari utakuwa mfupi, itabeba tani nyingi ukilinganisha na malori n.k. Hivi kweli bila Kenya hakuna Jumuiya ya Afrika Mashariki?.