Recent content by msesalonike

  1. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante blaki womani
  2. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante jina halisi!
  3. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante paprika!
  4. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante ndugu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante Mkuu!
  6. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante bwana Hakika utakufa! Nakubaliana na wewe kuwa mimi ni wa ajabu, kwa sababu nalalamika, kwahiyo mtu yeyote anayeomba ushauri ni mlalamikaji, Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana,,,,,, nakutakia kila la heri! Na nimeshakusamehe bure! BTW nakushukuru kwa yote!
  7. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Kanyela mumo wewe wasema! Tena nina imani unatokea kanda ileile tunayotokea mi na huyu jamaa, unajua mila na desturi za huko, kiasili sisi huwa siyo wachoyo kabisaaa! Lakini kwa maisha ya hapa DSM inabidi wakati mwingine uzalendo ukuishe bwana Kanyela mumo!
  8. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante ndugu, nimekupata vizuri, lakini kumbuka msaada unapozidi uwezo unageuka kuwa mateso kwako! Hapa saizi asubuhi hii kumekucha sijui itakuwaje,mi mweupe mfukoni, nimepigana kiume mpaka hatua hii mtu Hatokei kuja kuchukua familia yake, mbaya zaidi kodi yangu inaisha mwezi wa saba tarehe 15...
  9. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante kwa ushauri wako!
  10. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asante ndugu kwa ushauri wako! Nitaufanyia kazi!
  11. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

    Asalam!! Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, ni takribani mwezi sasa unaelekea kuisha tangu hii familia iwepo nyumbani kwangu! Habari yenyewe kiundani wake iko hivi; Mwenye familia ni ndugu wa mke wangu, Ni weekend moja ya siku za nyuma nilikuwa kwenye mihangaiko yangu ya kimaisha...
Back
Top Bottom