msesalonike
Member
- Nov 4, 2016
- 29
- 43
- Thread starter
- #41
Asante,nitakuchek!Lisilowezekana kwa binadamu kwa MUNGU linawezekana. Jipe moyo mkuu utafanikiwa. Nicheki pm
Asante,nitakuchek!Lisilowezekana kwa binadamu kwa MUNGU linawezekana. Jipe moyo mkuu utafanikiwa. Nicheki pm
Asante!Pole sana Boss, Jaribu kukubali hali na kufanya mpango wa kuadopt mtoto naamini atakupa peace of mind na kuleta furaha ndani ya nyumba yako.
Nina ndugu yangu alitumia sana pesa kujaribu kutibu hali kama hii bila mafanikio nakusihi usifike huko ukasahau kuishi maisha yako.
Fuata ushauri wa wataalamu, kula vyakula rich in protein, fanya mazoezi huku pia ukijaribu kukubali hali. Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe
Asante!Nipigie nikusaidie wala usikate tamaa ni kawaida na suluhisho lipo kwako na mkeo nipigie 0653660669 au whatssup
Nilitaka kumshauri hivi hivi, nashukuru umemaliza!!Pole sana...
Ila mshukuru Mungu kwa kila jambo. Huwezi kujua kakuepusha na nini... ungeweza labda kuzaa toto jambazi likakuua, au toto shoga, au jizi lililokubuhu..
Simshauri mtu kwenda hospitali zilizoko bongo hii.....Siku hizi hata hapa bongo wanafanya kuna hospital mikocheni.
Gharama ni nafuu kuliko kwenda huko nje.
Asante mkuu!mkuu nimeumia sana naomba nikutibu bureee kwa kukupa formula yangu ya matunda na utapona na watoto utazaa nishatibu wengi walioshibdikana hospital ambapo wanakuambia tatizo ila sio utatuzi nitafute whats app 0712505049
"Hujafa, hukaumbika"dhuuuuu hatari sana ni noma sasa hapo hakuna njia tafuta njia unnge na mkeo jinsi ya kupata mtoto maana kuwa eidha wa mtomb@# upate mtto ila mnatafuta best guy na kimya kimya kama ile movie ya kanumba na uwe na amani kupata mtoto sehemu nyingine. au nnjooo nikupe mbegu bure.
na usikataee maana furaha ya ndoa ni mtoto na heshima ya nyumba ni mtoto na huwezi itwa baba bila mtoto na hauta heshimika bila mtoto na iwe isiwe lazima mkeo aje kuleta ukorofi kwa hilo swala.
yamenifikia mkuu"Hujafa, hukaumbika"
Ndio maneno ninayopenda yakufikie popote ulipo.
maneno mazito sana haya kama yakizingatiwa.Pole sana...
Ila mshukuru Mungu kwa kila jambo. Huwezi kujua kakuepusha na nini... ungeweza labda kuzaa toto jambazi likakuua, au toto shoga, au jizi lililokubuhu.
Mipango ya Mungu haina makosa. Kuoa ni sheria, kuzaa ni majaliwa... kama mkeo hajakwazika na amelikubali tatizo, kuna majinga kibao yanatupa watoto, mnaweza kuadopt kama una nia na hamu sana ya kuwa na watoto.
Narudia tena, wakati wewe unasikitika hujapata mtoto kuna watu wanajuta kwanini wamepata mtoto/watoto.
Mshukuru Mungu.
Na hili ndilo neno langu mtakatifu ODM
Mhhhhh!Ndio!
Gharama yaweza kuwa kiasi gani mkuuSiku hizi hata hapa bongo wanafanya kuna hospital mikocheni.
Gharama ni nafuu kuliko kwenda huko nje.
Dada yangu mpaka anafanikiwa kupata ujauzito ilikuwa karibu 9m za kitanzania lkn kila mtu huwa wanatofautiana shida zao inaweza ikawa chini ya hapo au zaidi kutokana tatizo ambalo mama analo au wenza wote.Gharam
Gharama yaweza kuwa kiasi gani mkuu
Kuna kitu nataka nishee na hapo watalaam walio pima, walipima tuhh hyo sperm analysis au pamoja na Kipimo cha gram stain?Majibu yalionesha hakuna sperm kabisa kwenye semen, yaani hakuna hata mbegu moja iliyo nzima wala iliyokufa, kitaalamu aliandika TOTAL AZOOSPERMIA!