USHAURI: Nimeachiwa Familia ya Mtu Bila Taarifa Rasmi!!

Mpe option mbili huyo mwanamke!

Mwambie umsaidie kumpa mtaji biashara kama dada Sky Eclat alivyosema hapo juu, ili achangie katika majukumu ya humo ndani...
Au
Ajibebe na mwanae waende kwao!!! Alichofanya mumewe si ustaarabu kabisa! Umejitahidi saana aisee!
 
Asante bwana Hakika utakufa!
Nakubaliana na wewe kuwa mimi ni wa ajabu, kwa sababu nalalamika, kwahiyo mtu yeyote anayeomba ushauri ni mlalamikaji, Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana,,,,,, nakutakia kila la heri!
Na nimeshakusamehe bure!
BTW nakushukuru kwa yote!
Ushauri umepewa ndg hiyo ni mitihani mkuu hata hiyo biblia unayo nukuu haiko hivyo biblia inasema pendaneni hiyo ndiyo amri kuu sasa je yale yaliyomkuta ayubu yangekukuta ww ingekuwaje?wala hupashwi kunisamehe lkn kumbuka hilo ndilo jaribu lako mpe maelezo yako MUNGU uone maajabu usilalamike ewe uzao wa nyoka bali jinyenyekeze kwa MUNGU ili ule mema ya nchi.
 
Simama kama mwanaume piga simu mwambie aje achukue familia yake,wte nyie ni wanaume na kila mtu anatakiwa atimize majukumu yake.
 
Kuna binadamu wengine wanakimbia majukumu yao na kuhamishia kwa wengine.
Angetaka ushauri na sio kuja kukutupia msalaba wake. Kila mtu abebe msalaba wake mkuu
 
Mkuu pole sana kwa unayoyapitia aisee, ni magumu mno..kuhudumia familia mbili hatari sana
Joseverest.. Sikuhiz umeshuka kiwango kabsa kaka!! Umedrop sana kwenye ile "1 to reply yako"....Tafadhari nakuomba urudi kwenye top chart... Zisiwe mbio za sakafuni tu....

................................................
 
Haya mambo yanazingua sana, ongea na mke wa huyo aliyeitelekeza familia atafute kijibarua chochote( atengeneze hata vitumbua, chapati au maandazi) kwaajili ya kulisha familia yake
 
Ongeeni naye kwa hiyo simu anayopatikana mpate maelezo ya kutosha.
 
Aisee vingne tunajiuliza ww kama baba mwenye nyumba mgeni atakuja kwa nyumba yako bila kupewa taarifa ' syo rahisi na kama ulivyosema ni ndugu wa mkeo watakua wameshaongea wakamalizana na mkeo labda maisha kwa upande wa hao wageni yamekaa cyo poa huenda jamaa ata bela yakuwalisha imeshindikana so mkeo kamwambia waache wakae mpk mambo yako yakikaa sawa uje uwafate.na kama ujuavyo shida inatembea jikaze pga moyo konde wape kinachopatikana kikikosekana mtalala wote na njaa naiman huyo mwenye familia akirudi kuna namna atakavyokushukuru jikaze hizo ndio changamoto za dunian .
 
Pole kwa majkm hayo mapya mkuu, haya mambo yapo sn kwani siku hazifanani. Ukiona hivyo ujue hata jamaa huko alipo anaumia an kuliko hata ww uliyetwishwa zigo la familia yake. Nakushauri tu uwe mvumilivu kwani muda si mrefu watapata akili yakujikata kivingine
Asante Mkuu!
 
Pole kaka, ila ndio majukumu yetu kwa tamaduni zetu, huwezi watupa nje, huwezi wafukuza, ila badilisha hayo mawazo ya kuona umeonewa au kuongezewa mzigo na kuleta mbinu za kuwanufaisha wote, kuna mmoja kashauri kumnunulia shemeji unga wa ngano apike chapati, kuna swala ka kagenge, kuna swala la kabustani, kuna mambo ya kijasiriliamali waweza kugundua wewe na mama watoto na shemeji, na hata watoto wa kaka mkaweza kuongeza kipato, kuna kuuza juice, ice cream, mama ntilie n.k. n.k.
Kaza butu mwanaume, tulizaliwa kupata shida, kutoa jasho, sasa huu ndio mtahani kama mwanaume uonyeshi ujasiri wako..kila la heri, chukulia kama umeongezewa nguvu nyingine ya kujikwamuwa kiuchumi, na nyumba yako ilivyo jaa sasa mbona mtakuwa na amani na vicheko tu..
Asante ndugu!
 
Mpe option mbili huyo mwanamke!

Mwambie umsaidie kumpa mtaji biashara kama dada Sky Eclat alivyosema hapo juu, ili achangie katika majukumu ya humo ndani...
Au
Ajibebe na mwanae waende kwao!!! Alichofanya mumewe si ustaarabu kabisa! Umejitahidi saana aisee!
Asante paprika!
 
Aisee vingne tunajiuliza ww kama baba mwenye nyumba mgeni atakuja kwa nyumba yako bila kupewa taarifa ' syo rahisi na kama ulivyosema ni ndugu wa mkeo watakua wameshaongea wakamalizana na mkeo labda maisha kwa upande wa hao wageni yamekaa cyo poa huenda jamaa ata bela yakuwalisha imeshindikana so mkeo kamwambia waache wakae mpk mambo yako yakikaa sawa uje uwafate.na kama ujuavyo shida inatembea jikaze pga moyo konde wape kinachopatikana kikikosekana mtalala wote na njaa naiman huyo mwenye familia akirudi kuna namna atakavyokushukuru jikaze hizo ndio changamoto za dunian .
Asante!
 
Mke wa mtu kuja kuishi kwako wiki ni kosa
Aende kwa wazazi wake au kwa wazazi wa huyo mwanaume

Kawaida mtu hatakiwi ishi mahali dada yake alipo olewa
 
Back
Top Bottom