Recent content by msemakwelitz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Meya Ilala amtahadharisha Paul Makonda

    MSTAHIKI MEYA wa Ilala Mhe. Charles Kuyeko amemtahadharisha mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kutokubali kuingizwa mkenge na Mbunge WA SEGEREA Bonah M. Kaluwa (CCM) kutumika kuanzisha vita na mgogoro wa itikadi za kisiasa katika Manispaa ya Ilala ambayo iliyochini ya uongozi wa Mstahiki Meya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kamera (CCTV Camera) ndani vyumba vya kujaribishia nguo ktk duka la Mr. Price, ni sahihi?

    Acha utoto! Issue hapa ni kwamba privacy ya mtu inapotea unakuwa uchi wa nyama wakati unabadiri nguo kwa baadhi ya watu alafu mtu anakuangalia kupitia screen inayochukua hizo footage (picha) hii hairuhusiwi na ni kosa kubwa acha ushabiki wa kitoto kurukia hoja bila kutafakari au nyie ndio...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamera (CCTV Camera) ndani vyumba vya kujaribishia nguo ktk duka la Mr. Price, ni sahihi?

    Jamani wananchi tuwe makini. Nimesikitishwa sana baada ya kuona Kamera ndani ya changing room kwa juu (chumba cha kubadilishia nguo) pale Mr price Mlimani city! Hii ni hatari na Mamlaka husika zifuatilie hili swala kwani PRIVACY ya mtu inakuwa haipo na huchelewi siku kujikuta katika magazeti...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yaahirisha uamuzi wa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema hadi tarehe 20 Dec

    Unawaza kwa makario badara ya kichwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kucheza kamali muda wa kazi ni kosa- why not casino

    nimefuatikia Mantiki ya kuzui watu kucheza kamali muda wa kazi nikaona inaweza kuwa na Tija lakini mbona ili katazo linafanyika kwa upendeleo? Sports betting zimezuiwa wakati watu wanaenda wanaBET Na kuondoka huku CASINO zote kubwa zikiachwa zikifanya biashara ya KAMALI kwa muda wote yaani 24/7...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama kamati ya ulinzi na usalama ina malumbano hivi,je Dar iko salama? je ivunjwe?

    Haaaa haaaaa haaa ... KALA MAHARAGE YA WAPI HUYU
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ruge na Clouds wanyoosha mikono kwa Rubby

    Clouds ikiongozwa na mkurugenzi wao RUGE walisusa kupiga nyimbo za mwanamziki Rubby kama walivyofanya kwa LADY JD kutokana na Rubby kuwagomea kufanya show ya FIESTA kutokana na malipo madogo yanayowanyonya wasanii badala ya kufanya makubaliano wakaamua kumkomoa kwa kutokupiga nyimbo zake lakini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuwezesha Said alietobolewa Macho na Scorpion Bodaboda, Bajaj na Nyumba

    Idriss amepewa nyumba na GSM kwa kukaa bure na sio yake moja kwa moja.ni kweli Ommy Dimpozz pia amepewa nyumba ya kuishi bure.
  9. M

    JamiiForums Tanzania TCRA kufungia kipindi dhidinya kufungia Radio station

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeipenda hiyo mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la dawa nchini, nani mkweli kati ya Makamu wa Rais na Waziri wa Afya?

    Mama samia amekiri kuwepo uhaba wa Dawa nchini akiwa ktk uzinduzi wa ujenzi wa majengo ya wodi za wamama ktk wilaya ya Temeke, kinondoni na Ubungo huku Waziri wa afya akisema kuwa madawa ya kutosha yapo na wanaosema hayo maneno wanalenga kuigombanisha serikali na Wananchi, je nani ni mkweri na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TCRA kufungia kipindi dhidinya kufungia Radio station

    Kwa mara nyingine tunaona maamuzi ya kiupendeleo dhidi ya Tv/Radio station ya CLOUD aka Radioccm, Kuna makosa yalifanywa na kipindi cha Take one kwa zaidi ya mala moja, mala ya kwanza kuchochea ushoga (wakimuhoji Shoga KAOGE) na mala ya pili kuchochea Umalaya (wakiwa wanamuhoji GIGGY MONEY)...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Rais Kabila awasili Tanzania

    Hapa nashuhudia television ya Taifa ikionesha mapokezi ya Rais kabila moja kwa moja, je kuna umuhimu gani wa kodi za Watanzania kutumika kuonesha hayo mapokezi moja kwa moja huku Bunge live likishindwa kuoneshwa Live!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

    Ni kwa Dar es salaam/Bara ndio yapo Buguruni mkuu, kwa nchi yote au chama kiujumla ni Zanzibar
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi intelijensia ya polisi huwa inaangaliaga mikutano ya siasa tu?

    Nimekaa nawaza kwa sauti na kufuatilia kwa karibu Tamasha la Clouds la FIESTA linalofanyika katika mikoa mbalimbali sijawahi sikia kuwa Intelijensia ya POLISI imepata taarifa ya usalama kuwa mdogo bali Makamanda wakuu wa mikoa wamekuwa wakisema khali ni shwari sana kama khali ni shwari kwa nn...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TRA tupieni macho kwenye Casino, mapato mengi yanapotea kwenye kamari

    Mapato mengi sana yanapotea kkt Makasino yaliyipo nchi. Ni watanzania wengi sana Wanafilisika kwa kutumia pesa nyingi sana ktk hiyo michezo ila cha kushangaza mpaka leo hawatumii EFD mashine, inakuwaje mfanyabiashara mdogo analazimishwe kutumia EFD mashine wakati Casino zilizopo nchini...
Back
Top Bottom