Kamera (CCTV Camera) ndani vyumba vya kujaribishia nguo ktk duka la Mr. Price, ni sahihi?

msemakwelitz

Member
Sep 23, 2016
15
38
Jamani wananchi tuwe makini.

Nimesikitishwa sana baada ya kuona Kamera ndani ya changing room kwa juu (chumba cha kubadilishia nguo) pale Mr price Mlimani city!

Hii ni hatari na Mamlaka husika zifuatilie hili swala kwani PRIVACY ya mtu inakuwa haipo na huchelewi siku kujikuta katika magazeti ya UDAKU.
9674370383c281a290c9aec7f2cd9856.jpg
d171c89fb9fc151c6d53f61e69798dbe.jpg
 
Tupo digitali kwhy camera lazima watu hawana pesa hali ngumu bado mnahitaji kuvaa mnaweza mkaiba mtatia watu hasara.

Wakuu naunga mkono hoja CAMERA LAZIMAAAAAAA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom