Recent content by msemakweli95

  1. msemakweli95

    Je kwa muda huu ni waziri gani ni jipu?

    Habari za usiku ndugu zangu leo ningependa tujiulize kwa muda wa zaidi ya mwaka mzima ni waziri yupi unamuona kama jipu kwa upande wangu naona waziri wa elimu ni jipu yaani mipango yake mingi ni kupunguza wasomi sio kuboresha elimu kwan elimu ingebidi swala la kupandisha gredi liwe la mwisho...
  2. msemakweli95

    Hivi bongo hatuwezi kuwa na website ya kuuza vitabu soft copy?

    Inawezekana mbona zipo nyingi sema za njee kama amazon
  3. msemakweli95

    C programmers tushauriane hapa

    Cjasema bachelor ya c bt nimesema bachelor ya information technology but katika programming mostly tunasoma c language
  4. msemakweli95

    C programmers tushauriane hapa

    Me ni natake bachelor of it but mostly naona c language inatengeneza simple program kama addition simple function but me nataka kujua how can i make large system kama linux kwa c language
  5. msemakweli95

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Moja kati ya ajenda ya serikali hii ni kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa pili ni ukaguzi wa vyetu na kuleta elimu yenye tija na dunia nzima maendeleo yanaletwa na elimu hatuwezi kuwa na maendeleo bila kuwa na viongozi waadilifu na wenye elimu wenye kuweza kupanga mikakat mizur ya elimu swala...
  6. msemakweli95

    C programmers tushauriane hapa

    Jaman programmers wenzangu nimeanzisha thread hii ili tushirikiane kuelewa na kujifunza c language naomba ushirikiano wenu
  7. msemakweli95

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Jaman ndugu zangu wa jamii forums naona kama mada ya mchanga wa dhahabu imekuja kututoa katika agenda ya kitaifa ya vyeti feki vya daudi bashite naombeni hii agenda tusiache ipite hadi kieleweke either bashite atoe vyeti au awajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi kwa sababu nobody is above the...
Back
Top Bottom