msemakweli95
Member
- Mar 30, 2017
- 5
- 6
Jaman programmers wenzangu nimeanzisha thread hii ili tushirikiane kuelewa na kujifunza c language naomba ushirikiano wenu
What do you want to achieve with C programming??Jaman programmers wenzangu nimeanzisha thread hii ili tushirikiane kuelewa na kujifunza c language naomba ushirikiano wenu
Me ni natake bachelor of it but mostly naona c language inatengeneza simple program kama addition simple function but me nataka kujua how can i make large system kama linux kwa c languageWhat do you want to achieve with C programming??
Unaweza tumia videos au vitabu kujisomea!!
Me ni natake bachelor of it but mostly naona c language inatengeneza simple program kama addition simple function but me nataka kujua how can i make large system kama linux kwa c language
Cjasema bachelor ya c bt nimesema bachelor ya information technology but katika programming mostly tunasoma c languageKuna Bachelor ya C language siku hizi?
linux sio overnight project kaka ni vema uanze kuwaza vitu vidogo kabla ya kwenda huko mbali labda kama kutengeneza baadhi ya applications ambazo zinaweza ku function kwenye Linux au hata kwenye Windows.
Inabidi uanze kutafuta libraries kulingana na mahitaji yako mfano unaweza kuanza hata kutengeneza File streams,kufungua na kuandika au kusoma katika Text files unaweza kufanya string manipulations ukafanya Regular expressions ku search baadhi ya maneno kwenye sequence ya maneno fulani e.t.c
Unaweza kutafuta Library za Socket programming ukatengeneza Chat applications na vitu kadha wa kadha.
hivo unaweza kuiona C language inafanya hizo maths ila kuna vitu vingi sana unaweza kufanya muhimu ni kushika basics kwanza
Nimependa hiyo idea ya chat app!! Ni kweli ukitaka fika mbali kwenye language lazima uwe vizuri kwenye basics!! Labda mleta mada anaweza kututengenezea OS ya tz!!Kuna Bachelor ya C language siku hizi?